Kama wewe sio mlevi unaishije na mwenzio mlevi?

Kama wewe sio mlevi unaishije na mwenzio mlevi?

Muambie aache.......ikishindikana na wewe kuwa mnywwaji ikishindikana achana nae..........
 
Dah......mkuu.....pole......ni yule......?.......na kujitoa Kote kule aje akuangushe itafaa kweli.......?.......ulijitoa muhanga ujue..........

We acha tu,sina hamu hapa,nimejitoa hadi kwenda kupima ukimwi kumbe mtu mwenyewe ni mlevi. Shukran mkuu.
 
Sipendi pombe so hata mpenzi lazima asiwe mnywaji ili tuendane
 
mnunulie kwa wingi
changanya mkojo kwenye pombe yake,
mwache anywe ya kutosha akiwa na njaa.
Itafika wakati ataanza kutapika,atatapika sawasawa,
na huo ndio utakuwa mwisho wake wa kunywa pombe.
Kila akisikia harufu ya pombe itakuwa inamchemfua.
 
Mmmmhhhhhhhhhhhh.
 
kunywa lakini usilewe wala usinuke pombe hapo sawa

vinginevyo sikupi papuchi mwezi
 
Lakini harufu ya ''Glendfidich'' unaitambua?We kiboko mkuu!Natania usijali.Katika maisha wawili wapendanao hawawezi kukosa kasoro [mmoja au wote].Basi ni vemaa kuvumiliana katika maisha na huo ndiyo ubinadamu.Ingawa naamini bado hujachelewa na unampenda,waweza kukaa naye na kujadili kero/changamoto zenu za kila siku mkuu.
 
Lager tamu jaman

naunga mkono hoja yako, utamu wa lager ni mzuri hasa ukishushiwa na live band, mimi mpenzi wangu hanywi na tumeshagombana sana, nikamuahidi naacha ila du kolomeo uwa linacheza balaa. hapa najiandaa niende zangu live band, hakiniacha sio sababu, anaweza kukuacha mlevi akapata kicheche au mkorofi balaa. muhimu hisia na kumjali.
 
kunywa lakini usilewe wala usinuke pombe hapo sawa

vinginevyo sikupi papuchi mwezi

pombe gani ambayo haina harufu? pombe gani ambayo haileweshi? kumbuka ile sio chai? na jua usiponipa papuchi mwezi, mimi kitu cha lager kinanipa furaha nazifuga genye mwezi, siku nikija kuzitoa lazima izibe papuchi.
 
hahahah zinakuwa kama gundi
 
Lakini harufu ya ''Glendfidich'' unaitambua?We kiboko mkuu!Natania usijali.Katika maisha wawili wapendanao hawawezi kukosa kasoro [mmoja au wote].Basi ni vemaa kuvumiliana katika maisha na huo ndiyo ubinadamu.Ingawa naamini bado hujachelewa na unampenda,waweza kukaa naye na kujadili kero/changamoto zenu za kila siku mkuu.

Mkuu ukisoma mada vizuri utaelewa nimesema alikuja na chupa ya hiyo pombe geto. Shukrani kwa ushauri mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom