Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Habari.
Natumaini krismasi ilikua njema ingawa kwangu haikuja njema kihivyo.
Kuna mambo mawili yalipelekea krismasi yangu kutofana sana,moja ni kwamba jana niliingia choo cha kike,nikaenda kiwanja flani kumbe ni kiwanja maarufu cha mashoga,basi nikiwa nashangaa shangaa gafla nikavamiwa na mashoga kama 3 wananing'ang'ania,kwa kweli waliharibu siku yangu ya jana.
Jambo la pili ndio linabeba mada,najua tunakua kwenye mahusiano na watu tofauti kila mtu na vipendeleo vyake.
Mimi binafsi sio mtumiaji wa kinywaji/kilevi chochote isipokua maji,hata soda sinywi,rafiki yangu wa kike ni mlevi,anatumia vileo vikali,jana kaja geto ananuka pombe na chupa ya glendfidich. Binafsi sipendi hata kusikia harufu ya pombe,alichangia kuharibu siku yangu.
Je nyie wenzangu mnakabiliana vipi na changamoto hii ya kua na mwenza mlevi wakati wewe hutumii kilevi?