Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,434
- 14,892
PISIKALI pitia ushauri wa bure kabla haijawa too late.
View: https://youtu.be/v8lEDGzJSyg?si=U1UFckN1KPOf_jsI
View: https://youtu.be/v8lEDGzJSyg?si=U1UFckN1KPOf_jsI
😃😃😀😀😀😀Tuwekee maneno 'pisi kali' hatuna muda wa kwenda youtube
Mwambie bwana ako akuwekee bando!!!Tuwekee maneno 'pisi kali' hatuna muda wa kwenda youtube
Punguza hasira mleta madaMwambie bwana ako akuwekee bando!!!
Nini kazi ya bwana kama hakusaidii vitu vidogo vidogo kama bando??
Nimetoa ushauri tu mkuu, wala sina makasiriko.Punguza hasira mleta mada
Ongeza Lamomy pia. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Afadhali maana ingetuuma wengiLamomy sijawahi kumwona bwashee 🤗
PoleLamomy sijawahi kumwona bwashee 🤗
Sijui kwa kweliPole
Ni pisi
😁😁😁ht sijui kasemajeHahahaaa am not playing any fvcking games lol😃 kama hatutongozwi?
Haya wanawake wenzangu njooni tujiowee 🤣