Kama wewe ni pisi kali pitia hapa

Kama wewe ni pisi kali pitia hapa

Anasema hivi, eti sie wanawake tuna michezo, tukiwa 20s bado tunajiona wadogo kuolewa ila tukifika 30s uko ndio tunasaka kuolewa na tunachekewa kuwa na watoto mtu ana 26 bado hana mtoto
Mmh, wengine wanasema ndoa ni utapeli. Wengine wanasema ndoa inam-favour mwanamke. Huyu tena anawasakama wasioolewa. Aweee sijui wanatuonaje hawa
 
Sijui mnatakaje nyie wanaume eti.
Mlidhani kataa ndoa ina work kwenu tu....kuna wanawake pia wanaona ndoa ni utapeli....hata hivyo sio pisi kali wote hawajaolewa na hawana wtt, pisi kali kweli hasa zinaolewa at early 20's. Hao anaowasema jamaa labda wauzaji tu wanaona wakiolewa biashara itakuwa ngumu
 
Hahaha Mimi hata sijasikiliza nimeona tu pisi kali , nikaona Sio mbaya nikakuita😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom