Kama wewe ni pisi kali pitia hapa

Kama wewe ni pisi kali pitia hapa

Hakuna mtu mwenye experience ya maisha awape wengine ushauri, wote hapa Duniani ndio tunaishi kwa mara ya kwanza. Huyu mbwa anatafuta tu ugali kwa kuwaongelea wanawake vibaya, labda hata mamaake hana bwana
Andrew Tate wa Kenya huyo. Hata majina wamefanana. Waropokaji wa upumbavu wa red pill.
 
Haya matusi sasa kufananishwa na push up kwenye godoro?? 🤣🤣🤣 Nampenda muliro na mafwele
😉
4b548620ee01688b0734038631a86344.jpg
 
Hakuna mtu mwenye experience ya maisha awape wengine ushauri, wote hapa Duniani ndio tunaishi kwa mara ya kwanza. Huyu mbwa anatafuta tu ugali kwa kuwaongelea wanawake vibaya, labda hata mamaake hana bwana
Kwahiyo mtoto wako na wewe nyote mna experience sawa ?
 
Aliyekwambia mi mnyonge nani?
Nipewe haki gani humu wote hatujuani, kwani wewe ushawahi kuniona??

Nwei, mimi sio pisi kali nina sura ngumu km wanajeshi wa delta force 😹
Acha kuvunga, wewe ni Pisi Kali ! Ukiamua unakuwa kesho miss universe. Kukujua nakujua mara nyingi nakuona, ndo maana nakufukuzia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom