Kama wewe ni pisi kali pitia hapa

Kama wewe ni pisi kali pitia hapa

Ukimchunguza bata sana ….

Naona Unaogopa kuchanganya madesa? Nakuhakikishia huchanganyi madesa.

Kuwa mtulivu tu, mambo haya hayataki haraka
Sina desa lolote humu.!!
Nimekuona mwenyeji unayetumia new id kuchangamsha kijiwe.. 😹😹😹
 
Nachukia sana hii mentality, wasichana wengi wadogo wanasikiliza na wanaamini kwamba hawana self worthy mpaka wawe na mwanaume hata kama ni wa hovyo. It's sad! Wamama wengi wamelea watoto wao wa kike ili kutorudia makosa yao ya kimahusiano na ndoa.

Chagua baba mzuri wa watoto wako na si ili mradi mwanaume kisa umri unaenda, watoto watateseka na kukosa malezi wanayostahili.

Mambo anayosema huyo kaka kwenye video ni rubbish tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom