kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,539
- 17,484
Nusu nkutag mwenyekitiAcha kupotosha umma bwashe
Nusu nkutag mwenyekitiAcha kupotosha umma bwashe
Wee MM umerudi?? Karibu tena jamvinjAcha kupotosha umma bwashe
Nyeto imeanza tangu eden kwa Adam Mpaka Sir God akampa Eva, jamaa amepiga nyeto kwa zaidi ya miaka 500 na hajawahi kupata madhara, ndio madhara yaje leo 😂Naunga mkono hoja, doctor Isack Ndodi aliwadanganya watu wengi sana kuhusu kupiga nyeto, na siku zote ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kupinga kitu fulani basi jua hicho kitu ndo kina faida lukuki.
Mbona Dr. Isack Ndodi naye ananyetuka siku hizi?
Asante sana Kwa kujaliWee MM umerudi?? Karibu tena jamvinj
Unajua katika hii Dunia mtu akishiba magimbi anakuja kusema kitu fulani ni kibaya ili watu wasikienjoy.Nyeto imeanza tangu eden kwa Adam Mpaka Sir God akampa Eva, jamaa amepiga nyeto kwa zaidi ya miaka 500 na hajawahi kupata madhara, ndio madhara yaje leo 😂
Kama kitimoto tuu wanavyokiponda wakati wanakifakamia sirini 🤣Unajua katika hii Dunia mtu akishiba magimbi anakuja kusema kitu fulani ni kibaya ili watu wasikienjoy.
Wivu tu mkuu .
Hahaha 😂, mkuu kati ya ukweli ulioongea ni huu aisee. Maimamu wanagonga pork sirini ile mbaya, kipindi fulani shehe mmoja alikuwa anainiagiza nimpelekee pork.Kama kitimoto tuu wanavyokiponda wakati wanakifakamia sirini 🤣
Afu msikitini utasikia Nguruwe ni haram 😂Hahaha 😂, mkuu kati ya ukweli ulioongea ni huu aisee. Maimamu wanagonga pork sirini ile mbaya, kipindi fulani shehe mmoja alikuwa anainiagiza nimpelekee pork.
Nilichogundua ni kuwa jamaa wanamchukia nguruwe ila wanapenda nyama yake.Afu msikitini utasikia Nguruwe ni haram 😂
Wacha wale raha duniani, waache kuvungaNilichogundua ni kuwa jamaa wanamchukia nguruwe ila wanapenda nyama yake.
Yaani nguruwe akiwa hai ni haramu ila akishageuzwa nyama anakuwa halali, dah 😂.
Waangilie sana maana wanaweza kuwakosa wale mabikra 72 kimasihara.Wacha wale raha duniani, waache kuvunga
Uko sahihi mkuu. Njia pekee ya kuacha nyeto kwa mtu aliyefikia umri wa kuoa ni kuoa tu. Pia huyu mleta uzi aache kabisa kutazama porn. Hicho ni kichocheo kikubwa cha nyeto.Mi nilishawahi kufanya nofap challenge nikafikisha hadi siku 290+ bila huo mchezo , ila kama ni mwanaume rijali dawa pekee ya kuacha Nyeto ni kuoa, vinginevyo utairudia tu.
Kwa sasa nimeoa siku chache zilizopita na sioni madhara yoyote yaliyotokana na hiyo michezo, niko vizuri kiafya labda kama madhara yake inaweza kusababisha kuchelewa kuscore hapo sawa hilo tatizo ni nalo nachelewa sana kupiga goli kama prince Dube
POLE SANA
Ila PUNYETO is safe sex na Kama unataka kutunza Afya yako hiyo itakusaidia .
Hasa ukiwa unafanya Kazi zinazohitaji matumizi makubwa ya akili na kufikiri.
Ingekuwa CV sio kitu basi kila mtu angekuwa kama Dr Mujajati. Hiyo hoja sio ya kisiasa.. ni hoja yenye ushahidi wa kisayansi. Au unadhani Dr Mujajati ni mtu wa kijiweni kwenu?Kwani Cv ndio nini? inathibitisha vp hiyo hoja.
nani kakwambia kuoa ni dawa ya kuacha nyeto??Uko sahihi mkuu. Njia pekee ya kuacha nyeto kwa mtu aliyefikia umri wa kuoa ni kuoa tu. Pia huyu mleta uzi aache kabisa kutazama porn. Hicho ni kichocheo kikubwa cha nyeto.
Nyeto na Porn ni mapacha wafananao.. Alipo anza sema anatazama porno hata ya lisaa lizima, alafu apigi nyeto, napata mashaka nae.. tena hasa Kwa yeye ambae amenyetuka Kwa zaidi ya miaka 10Uko sahihi mkuu. Njia pekee ya kuacha nyeto kwa mtu aliyefikia umri wa kuoa ni kuoa tu. Pia huyu mleta uzi aache kabisa kutazama porn. Hicho ni kichocheo kikubwa cha nyeto.
Kila mtu ana aina yake ya hilo zoezi so huwaezi jua anatumia aina gani?Ishu ya kulala baada ya nyeto ni jambo la kawaida hata kwenye mapenzi ya kawaida hiyo ipo kwa mwanaume na kwa mwanamke.
Mtu akiambiwa ataje madhara ya nyeto anaanza blah blah zile zile Za Kila siku bila uthibitisho, mm nna zaidi ya miaka 29 napiga nyeto na mademu nawala kama kawaida na sijawahi kuona tatizo lolote.
Mm mwnyw nikilomba demu vzr lazima nilaleKila mtu ana aina yake ya hilo zoezi so huwaezi jua anatumia aina gani?
Kwahiyo ukichelewa kufunga goli nalo tatizo kumbeMi nilishawahi kufanya nofap challenge nikafikisha hadi siku 290+ bila huo mchezo , ila kama ni mwanaume rijali dawa pekee ya kuacha Nyeto ni kuoa, vinginevyo utairudia tu.
Kwa sasa nimeoa siku chache zilizopita na sioni madhara yoyote yaliyotokana na hiyo michezo, niko vizuri kiafya labda kama madhara yake inaweza kusababisha kuchelewa kuscore hapo sawa hilo tatizo ni nalo nachelewa sana kupiga goli kama prince Dube