Nyeto huvisha najisi mwili, tena ukiwa maskini hata uwe smart vipi unakua na gundu kupitiliza kila ukitongoza utakua unapigwa za mbavu.Hongera sana mkuu, kiukweli nyeto ni mbaya sana.
Ukitaka kujua kama nyeto ina madhara kiasi gani,acha kwa muda kuanzia week moja then jithathimini kuna kitu utagundua
HakikaNyeto huvisha najisi mwili, tena ukiwa maskini hata uwe smart vipi unakua na gundu kupitiliza kila ukitongoza utakua unapigwa za mbavu.
Hiyo kukataliwa mpaka na vijuso huwa si bahati mbaya bali ni ile energy mbovu unayokuwa nayo ndani ya mwili.
Soma 1 Wakorintho 6:18, 6:19–20.