Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,292
Ñyeto nmepiga sana ila sahv ni kama naenda kuiacha
Madokta uchwara na matangazo yao ya dawa za kuongeza nguvu za kiume wamewapandikiza watu wengi mawazo potofu, na kalengwa zaidi mwanaume kwa sababu ndie mwenye ego ya kutaka kuonekana kapiga show kubwa. Hata wanawake pia wana tafizo la nguvu za kike lakini uwezi kuona popote tangazo la dawa za kuongeza nguvu za kike kwa sababu wanawake sio target ya biasharaWATU WANAPENDA KUONGEA HABARI ZA UONGO HII KITU KAMA INGEKUWA NA HAYO MADHARA SIFIKIRII KAMA WATU WANGEENDELEA NAYO MPAKA LEO KWAKUWA BAADHI WAMEOA ILA HAWAACHI
Chama chetu CHAPUTA kinapoteza mwanachama mwandamizi hivi hivi..!Leo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.
Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo narudia. Ukawa ndo mchezo wangu mpaka nimekuwa mtu mzima sasa, sio kwamba sikuwa napata madem yaan madem ninao na nyeto nikawa napiga.
Hii shughuli imenidhalilisha, imenipotezea muda na nguvu. Unajua hakuna starehe mbaya kama starehe ya bei rahisi. Huitaji gharama kubwa kupiga nyeto ni wewe na privacy tu utelezi ukikosa sabuni hata mate kazi inaendelea.
Kama wewe ni kijana unasoma huu ujumbe na hujawahi kufanya huu mchezo nakusihi usijaribu. Mimi kufikia kutimiza siku zote hizi namshukuru sana Mungu kwani nayaona mabadiliko katika mwili wangu.
Siendeshwi na hisia tena, naweza kushinda ndani peke yangu na nisiguse. Naweza kusoma chombezo au hata kuangalia porno ya lisaa na nisipige nyeto. Yote haya sikuwa naweza hapo kabla. Ilifika mahali naweza stuka usiku kwenda kukojoa kitendo cha kufika chooni tu nastua kimoja.
Hii ni hatari sana, nyeto ina maliza sana nguvu. Sijui kama wapiga nyeto mme'notice ila mara nyingi kama si zote ukimaliza kupiga tu azima utasikia usingizi na kama upo sehemu nzuri basi utalala. Kuna muda kama nilikiwa sipati usingizi basi nakula nyeto sekunde tu nalala.
Nyeto ndo ikawa kama sleeping pill yangu, nilikuwa naelekea pabaya sana. Nimewahi piga mpaka msibani... yaani tumetoka kuzika tu nikaenda chooni sio kukojoa ila intentionally kula nyeto. Kuna kipindi fulani nilikuwa nauza duka, muda wa mchana wateja huwa wakuhesabu basi najificha nyuma ya friji nakula nyeto humo humo dukani
Nyeto si nzuri vijana acheni, nimewahi dhalilika mbele ya pisi. Pisi kali sana ya kihindi mixer mbongo baada ya kuifukizia kwa muda mrefu akaamua kunibariki tunda ila askari kichwa akagoma. Sitosahau ile siku alafu baada ya yeye kuondoka mzigo ukasimama freshi na nikala bao mbili kwa hasira
Yapo mengi mabaya yaliyonikuta kupitia hii kitu japo sikuwa napenda kufanya ila nimepata changamoto sana kuacha. Namshukuru sana Mungu.
Kama mimi nimeweza wewe pia unaweza. Fanya maamuzi
Kama Adam alipiga nyeto kama unavyodai kwanini Sir God alimpa eva? Kama nyeto haina madhara kama unavyodai kwanini Mungu ampe eva? Kwanini asimuache tu aendelee kula nyeto na binadamu tungetafutiwa namna nyengine ya kuongezeka kama ilivyo mimea au amoeba?Nyeto imeanza tangu eden kwa Adam Mpaka Sir God akampa Eva, jamaa amepiga nyeto kwa zaidi ya miaka 500 na hajawahi kupata madhara, ndio madhara yaje leo 😂
Yah ni kweli, naamini hio hali itanijia na nimejipanga kukabiliana nayo. Addiction kuacha ni ngumu sana si jambo lepesi. Naamini yote hayo nitakabiliana nayo na nitayashinda, hakuna lisiloshindikana chini ya jua endapo ukimshirikisha Mungu. Hii safari ya kuacha nimeianza tangu 2020. Ilikuwa nikikaa sana ni mwezi tu tena huo mwezi labda naumwa au nimebanwa na shughuli mingi. Kufikisha siku 54 ni miujiza sana na namshukuru Mungu kwa hiloMkuu, hapo upo kwenye flatline... Kuanzia week 2 zijazo, hali itarejea kwa kasi sana.
Ukimudu hapa, itakuja nyingine ya moto zaidi. Ukiishinda hii, walau unaweza kusema umeweza kujidhibiti.
Kimsingi watu hawaachi ila wanapumzika
Pengine hujanielewa labda. Kama umesoma vizuri andiko langu kuna sehemu nimeandika hakuna starehe mbaya kama starehe ya bei rahisi. Nyeto na kut*mba zote zinamaliza nguvu, nakubaliana na wewe 100%.Ishu ya kulala baada ya nyeto ni jambo la kawaida hata kwenye mapenzi ya kawaida hiyo ipo kwa mwanaume na kwa mwanamke.
Mtu akiambiwa ataje madhara ya nyeto anaanza blah blah zile zile Za Kila siku bila uthibitisho, mm nna zaidi ya miaka 29 napiga nyeto na mademu nawala kama kawaida na sijawahi kuona tatizo lolote.
Hii ndio JF halisi sasa😂Mkuu jipongeze na bao moja leo la nyeto siku 54 sio haba
Huwa inasababisha prostatic carcinoma kansa ya tezi dumeLeo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.
Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo narudia. Ukawa ndo mchezo wangu mpaka nimekuwa mtu mzima sasa, sio kwamba sikuwa napata madem yaan madem ninao na nyeto nikawa napiga.
Hii shughuli imenidhalilisha, imenipotezea muda na nguvu. Unajua hakuna starehe mbaya kama starehe ya bei rahisi. Huitaji gharama kubwa kupiga nyeto ni wewe na privacy tu utelezi ukikosa sabuni hata mate kazi inaendelea.
Kama wewe ni kijana unasoma huu ujumbe na hujawahi kufanya huu mchezo nakusihi usijaribu. Mimi kufikia kutimiza siku zote hizi namshukuru sana Mungu kwani nayaona mabadiliko katika mwili wangu.
Siendeshwi na hisia tena, naweza kushinda ndani peke yangu na nisiguse. Naweza kusoma chombezo au hata kuangalia porno ya lisaa na nisipige nyeto. Yote haya sikuwa naweza hapo kabla. Ilifika mahali naweza stuka usiku kwenda kukojoa kitendo cha kufika chooni tu nastua kimoja.
Hii ni hatari sana, nyeto ina maliza sana nguvu. Sijui kama wapiga nyeto mme'notice ila mara nyingi kama si zote ukimaliza kupiga tu azima utasikia usingizi na kama upo sehemu nzuri basi utalala. Kuna muda kama nilikiwa sipati usingizi basi nakula nyeto sekunde tu nalala.
Nyeto ndo ikawa kama sleeping pill yangu, nilikuwa naelekea pabaya sana. Nimewahi piga mpaka msibani... yaani tumetoka kuzika tu nikaenda chooni sio kukojoa ila intentionally kula nyeto. Kuna kipindi fulani nilikuwa nauza duka, muda wa mchana wateja huwa wakuhesabu basi najificha nyuma ya friji nakula nyeto humo humo dukani
Nyeto si nzuri vijana acheni, nimewahi dhalilika mbele ya pisi. Pisi kali sana ya kihindi mixer mbongo baada ya kuifukizia kwa muda mrefu akaamua kunibariki tunda ila askari kichwa akagoma. Sitosahau ile siku alafu baada ya yeye kuondoka mzigo ukasimama freshi na nikala bao mbili kwa hasira
Yapo mengi mabaya yaliyonikuta kupitia hii kitu japo sikuwa napenda kufanya ila nimepata changamoto sana kuacha. Namshukuru sana Mungu.
Kama mimi nimeweza wewe pia unaweza. Fanya maamuzi
Hauna lolote,una matatizo yako mengine unasingizia nyeto,mtoa mada embu tafuta ela!!Unajua nyie mnaotetea hili jambo siwashangai hata kidogo. Na ni ngumu kwenu kuacha kwasababu kwanza mmeikubali na hamuoni kama ina madhara kwenu. Uraibu wowote ule uwa hivyo hivyo. Mtu aliyeathirika na uraibu ili aache lazima kwanza akubali yeye mwenyewe kwa akili yake bila kulazimishwa kwamba hili jambo si zuri na halinifai.
Mimi nilikuwa na madem kama kawaida ila nilikuwa nao basi tu kwavile ni mwanaume basi nami niwe na mtu. Ila nilikuwa nikimfananisha mwanamke na nyeto naiona nyeto ni bora kwasababu haioniombi hela, haitanipa STDs, haitaki kubembelezwa. Lakini kaa ujue kuwa hayo ninayoyakimbia ndo what makes man a man (ukitoa STDs) Nakimbia kuombwa pesa nitakuwa baba wa aina gani nisiyetaka kuombwa pesa? Nitakuwa mume wa aina gani nisiyetaka kubembeleza mwanamke?
It takes time muathirika wa punyeto kujua punyeto si nzuri kwa afya hasa ukiipiga sana kama stage niliyofika mimi. Imagine nilikuwa napiga mpaka dukani, je ningekufumaniwa na mteja.... sijapoteza wateja? Siwashangai lakini mnaniopinga hata mimi nilikuwa kama nyinyi. Nawaombea tu siku moja muamke nitafurahi sana kusikia hivyo.
Hii ni kwel utoaji wa sperm mara kwa mara husababisha kansa ya tez dume,Hili sikuwa nalijua hapo kabla
Kusema humshauri mtu anaefanya huu ujinga ye ndiye atakaekuona mjinga kwa kuona kuwa haumasturbate hawawezi kushaurikaLeo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.
Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo narudia. Ukawa ndo mchezo wangu mpaka nimekuwa mtu mzima sasa, sio kwamba sikuwa napata madem yaan madem ninao na nyeto nikawa napiga.
Hii shughuli imenidhalilisha, imenipotezea muda na nguvu. Unajua hakuna starehe mbaya kama starehe ya bei rahisi. Huitaji gharama kubwa kupiga nyeto ni wewe na privacy tu utelezi ukikosa sabuni hata mate kazi inaendelea.
Kama wewe ni kijana unasoma huu ujumbe na hujawahi kufanya huu mchezo nakusihi usijaribu. Mimi kufikia kutimiza siku zote hizi namshukuru sana Mungu kwani nayaona mabadiliko katika mwili wangu.
Siendeshwi na hisia tena, naweza kushinda ndani peke yangu na nisiguse. Naweza kusoma chombezo au hata kuangalia porno ya lisaa na nisipige nyeto. Yote haya sikuwa naweza hapo kabla. Ilifika mahali naweza stuka usiku kwenda kukojoa kitendo cha kufika chooni tu nastua kimoja.
Hii ni hatari sana, nyeto ina maliza sana nguvu. Sijui kama wapiga nyeto mme'notice ila mara nyingi kama si zote ukimaliza kupiga tu azima utasikia usingizi na kama upo sehemu nzuri basi utalala. Kuna muda kama nilikiwa sipati usingizi basi nakula nyeto sekunde tu nalala.
Nyeto ndo ikawa kama sleeping pill yangu, nilikuwa naelekea pabaya sana. Nimewahi piga mpaka msibani... yaani tumetoka kuzika tu nikaenda chooni sio kukojoa ila intentionally kula nyeto. Kuna kipindi fulani nilikuwa nauza duka, muda wa mchana wateja huwa wakuhesabu basi najificha nyuma ya friji nakula nyeto humo humo dukani
Nyeto si nzuri vijana acheni, nimewahi dhalilika mbele ya pisi. Pisi kali sana ya kihindi mixer mbongo baada ya kuifukizia kwa muda mrefu akaamua kunibariki tunda ila askari kichwa akagoma. Sitosahau ile siku alafu baada ya yeye kuondoka mzigo ukasimama freshi na nikala bao mbili kwa hasira
Yapo mengi mabaya yaliyonikuta kupitia hii kitu japo sikuwa napenda kufanya ila nimepata changamoto sana kuacha. Namshukuru sana Mungu.
Kama mimi nimeweza wewe pia unaweza. Fanya maamuzi
Panadol inatibu Ila pia inasababisha figo kufeli, kama umenielewa.Kama Adam alipiga nyeto kama unavyodai kwanini Sir God alimpa eva? Kama nyeto haina madhara kama unavyodai kwanini Mungu ampe eva? Kwanini asimuache tu aendelee kula nyeto na binadamu tungetafutiwa namna nyengine ya kuongezeka kama ilivyo mimea au amoeba?
Nyeto ina madhara kubali ukatae. Hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha mtu anayetaka kutapeliwa
AiseeLeo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.