Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
Mi nimeomba KUTOA au KUWEKA hoja tu...kwani nani kawanyima
Mbona wapo wengi wanavaa hivyo! mfano yule mwanamitindo Rehemtulla! (halafu simuelewielewi yule jamaa!)View attachment 58014
Wadau mnauonaje tukiwa nasi tunatoka na haya mapamba?!:wacko:
View attachment 58014
wadau mnauonaje tukiwa nasi tunatoka na haya mapamba?!:wacko:
mkuu Wilbert1974 we ulambe kwani cc tulivyoanza kuvaa tuliwauliza ????????????Mi nimeomba KUTOA au KUWEKA hoja tu...
Anza we kuonyesha mfano si tutamalizia...vaa mkuu ila zipu iwe nyuma!