Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??.
Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana INTELIJENSIA ?.
MAFWELE kanyakuliwa, hawajui alipo, Utasema wana INTELIJENSIA?.
Ukweli ni kua HATA MH POLEPOLE, kilichomponza ni lizeee Butiku, bila hili lizeee kusaliti basi tungekua naye Hadi hii Leo.
HIVI MNATEGEMEA MTU ALOISHIA LASABA, AU FAILURE YA KIDATO CHA NNE, AKAINGIA JESHINI KWA RUSHWA NA NEPOTISM, AkaanA kuunga unga vikozi, mara akawekwa kitengo cha Upelelezi, Huyu atakua na Weledi wa kufatilia Masuala makubwa ??.
MH LISSU juzi akimalizia ushahidi alisema "Hawa ndio wanakuja kua Ma RPC ,kesho kutwa Ma IGP"..... Hii ni Kauli ilikua na Ujumbe Mkubwa sana !!!.
Kwa UFUPI, Akili za akina Wambura na JESHI lake ni zile za "MPAKA WAMKAMATE MTU MMOJA, WAMOIGE KIPIGO HATA KUMVUNJA MIGUU , KISHA HUYO MTU NDIO ASEME SIRI NA WAO WAZIFANYIE KAZI".
Hawana uwezo wa Kupata Taarifa za Mapema !!.
JIULIZENI, Ukiachilia mbali Taarifa zao za Kuzuia Chadema mikutano kua INTELIJENSIA IMEONYESHA kuna HATARI, NI LINI WALIWAHI KUA NA TAARIFA ZA MAPEMA NA WAKAZUIA JAMBO???.
Wao Huwa ni wanakuja na Taarifa baada ya TUKIO, maana yake ,hapo wanamkamata anayesadikiwa, wanamoankipigo, yeye anasema Siri, wanafatilia, ndo wanakuja kutoa Tangazo lao !!.
Hamna kitu !!! NCHI IKO wazi sana !!.