Kama Waandishi wa Habari hawajui Maharage Chande anafanya Biashara gani na TTCL basi hii nchi imejaa Waandishi " Uchwara"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Yaani Vyombo Vyote Vya Habari Vya nchi hii havijui aliyekuwa boss wa Tanesco anafanya Biashara gani na TTCL?

Kwenye mambo ya Habari Kenya wametuacha mbali MNO

Waandishi wa Habari na Wanasheria ndio uti wa mgongo wa taarifa muhimu za WATU mbalimbali akiwemo Yesu Kristo Nchini Israel

Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
 
Sasa mbona hujatumegea tupate pakuanzia Jo🤸🤸🤸
 
Kwamba unamaanisha walipaswa wachokonoe immediately baada ya uteuzi wake?

Yaani Vyombo Vyote Vya Habari Vya nchi hii havijui aliyekuwa boss wa Tanesco anafanya Biashara gani na TTCL?

Kwenye mambo ya Habari Kenya wametuacha mbali MNO

Waandishi wa Habari na Wanasheria ndio uti wa mgongo wa taarifa muhimu za WATU mbalimbali akiwemo Yesu Kristo Nchini Israel

Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
 
Yaani Vyombo Vyote Vya Habari Vya nchi hii havijui aliyekuwa boss wa Tanesco anafanya Biashara gani na TTCL?

Kwenye mambo ya Habari Kenya wametuacha mbali MNO

Waandishi wa Habari na Wanasheria ndio uti wa mgongo wa taarifa muhimu za WATU mbalimbali akiwemo Yesu Kristo Nchini Israel

Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
Form 4 failures div 0 kama akina nape watajua nini katika investigative journalism? kazi hiyo wape akina Ansbert ngurumo, utapata jibu leo leo hii
 
Yaani Vyombo Vyote Vya Habari Vya nchi hii havijui aliyekuwa boss wa Tanesco anafanya Biashara gani na TTCL?

Kwenye mambo ya Habari Kenya wametuacha mbali MNO

Waandishi wa Habari na Wanasheria ndio uti wa mgongo wa taarifa muhimu za WATU mbalimbali akiwemo Yesu Kristo Nchini Israel

Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
Huu sasa udaku inamanufaa gani kwa wananchi
 
Kuna waandishi au wambea watu wa udaku udaku kwenye media
Yule mwandishi mohamed Ali wa kenya namkubali sana kwenye habari
Za kiuchunguzi
Hawa wa kwetu hata hawaeleweki wengi nawaona wadaku tu

Ova
 
Waliotakiwa kufahamu hayo kabla ya uteuzi ni wale waliofanya vetting kabla hajawa Mkurugenzi wa TANESCO unless sasa hivi hakuna tena vetting kabla mtu hajateuliwa kwenye nafasi hizo.
 
Back
Top Bottom