Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama .

familia hizo ni
Mwinyi
Samia
Kikwete
 
Hapa nguvu ya umma tu inatakiwa iamke kutoka usingizini, na hivyo kuanza kupambania raslimali za nchi ili ziwanufaishe wananchi walio wengi.
 
Sisi Kama wananchi tuna wajibu wa kufanya jambo kwa manufaa yetu wote na kwa taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom