emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 477
Ingekua hivyo. Watu wote tungejifungia nyumbani na kumuomba mungu atuletee chakula na utajiri...Unawadanganya mabinti na upuuzi wako...hizo zote hakuna sabb hata moja ya kumvuta mume wa ndoa...
Wewe binti kama waitaji mume muombe sana Mungu kwa imani yako,,achana na hivo vigezo hapo..
KUMBUKA. Mungu mwenyewe alisema kupitia maandiko yake Jisaideni nami nitawasaidia