Kama unataka kuolewa hii inakuhusu

Kama unataka kuolewa hii inakuhusu

We unajua na unajitambua eti oooh sijui mwanamke amnunulie bwanake msosi Mara ampe hela Mara vile ....msiiiiieeew hivi ni vigezo vya wanaume mburula tu

Walioolewa wanaelewa lakini wewe hujui ukisemacho. Usione wenzako wanaolewa wamehangaikia waume zao. Usipojipendekeza utaishia salooni tuu
 
Walioolewa wanaelewa lakini wewe hujui ukisemacho. Usione wenzako wanaolewa wamehangaikia waume zao. Usipojipendekeza utaishia salooni tuu
Endelea kuamini unachokiamini nimekwambia.......
 
Mwanamke hata uwe na vyote hivyo kama kichwani ni kilaza hizo sifa zote huwa hazidumu, zinapeperuka na makundi ya marafiki anaokutana nao kila siku

Na kwa bahati nzuri ni kuwa huwezi kuta mwanamke kilaza anajishuhulisha wengi ni macherema tuu. Hizo sifa tajwa juu zinathibitisha akili ya mwanamke
 
Endelea kuamini unachokiamini nimekwambia.......

Hapa sio kanisani nimekuambia Mkuu. Ni ithibati tuu. Mwandiko wako haukufichi ulivyo. Pole sana Dada yang. Fuata ushauri utapata wakukusitiri.
 
Sihongi na wala sijipendekezi kwa mwanaume.
Mtakuja tu mbona kabisa .
Ila kuheshimu mwanaume lazima umuheshimu kabisa ukitaka ndoa ikae kwa amani heshimianeni kunatofauti ya mke na mchepuko.
Halafu umpende mwanaume wako mfanye kuwa special ila usimwogope.
Akikosa mpe makavu tu kama kawaida usimcheleshe.
Olewa na mtu unayemuelewa naumemzoea.
Kuolewa ni lazima ili ujue unamajukumu fulani unategemewa kuna uzuri wakuitwa mama joshua mama musa kuliko kuitwa katoto kazuri.
Kuolewa kukaa ndani sio ishu kuwa nakazi ndio inshu kabisa.
 
Sina huo mda Mimi ....kama ndoa wacha ipite

Yote maisha Dada yangu. Dunia ni mapito tuu. Yaani wanaume milioni 25 ukose wa kukuoa khaaah! Hata haiingii akilini. Ni sawa na Bara la Afrika kuwa na mali nyingi lakini bado ni masikini. Hiyo ndio huitwa laana
 
Sihongi na wala sijipendekezi kwa mwanaume.
Mtakuja tu mbona kabisa .
Ila kuheshimu mwanaume lazima umuheshimu kabisa ukitaka ndoa ikae kwa amani heshimianeni kunatofauti ya mke na mchepuko.
Halafu umpende mwanaume wako mfanye kuwa special ila usimwogope.
Akikosa mpe makavu tu kama kawaida usimcheleshe.
Olewa na mtu unayemuelewa naumemzoea.
Kuolewa ni lazima ili ujue unamajukumu fulani unategemewa kuna uzuri wakuitwa mama joshua mama musa kuliko kuitwa katoto kazuri.
Kuolewa kukaa ndani sio ishu kuwa nakazi ndio inshu kabisa.
We katoto si ulisema unaenda shule lakini?

Mbona ghafla tena?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sihongi na wala sijipendekezi kwa mwanaume.
Mtakuja tu mbona kabisa .
Ila kuheshimu mwanaume lazima umuheshimu kabisa ukitaka ndoa ikae kwa amani heshimianeni kunatofauti ya mke na mchepuko.
Halafu umpende mwanaume wako mfanye kuwa special ila usimwogope.
Akikosa mpe makavu tu kama kawaida usimcheleshe.
Olewa na mtu unayemuelewa naumemzoea.
Kuolewa ni lazima ili ujue unamajukumu fulani unategemewa kuna uzuri wakuitwa mama joshua mama musa kuliko kuitwa katoto kazuri.
Kuolewa kukaa ndani sio ishu kuwa nakazi ndio inshu kabisa.

Mwanamke 1: Mwalimu nifanye nini nipate kuolewa?
JokaJeusi: Waijua sheria
Mwanamke 1: Nimeishika tokea nikiwa bint mdogo.
JokaJeusi: Umefanya vyema. Fanya niliyokuamuru nawe utaolewa.

Acha mbwembwe Wanaume wamebadilika.
 
Naona baadhi ya dada zangu mnampinga jamaa, lkn huyu mleta thread yupo sahihi, tatizo lenu viburi ila, kama ndoa ngumu, jaribu upweke.
 
Atasubiri sana kwakweli. Na bahati mbaya ndio maisha ya dada zetu huko mjini. Akili iliyobaki ninkutunisha tako hana kingine anachokiwaza.
Haya maisha yaacheni tuu.

Mtu hana mvuto
hana elimu
hana ajira
hana kazi
hana tabia njema
hana akili

Anachoringia ni papuchi. Alafu anategemea kuolewa.
 
Amu wkt mwingine elimu ya darasani huwa haiamshi mtu kuwa smart kwenye maisha. Wapo ambao hawajasoma lakin ukiwacheki wanavyopambana, unasema yes... this is my woman.
Mistari miwili ya mwisho imekamilisha kila kitu, ahsante mpenzi wangu sikuwa na vyote hivo ila akanchagua katika wasomi aliokutana, akanchagua ktk wazuri wa wazuri wakati mwingine hata huwa namuuliza uko proud na mie ananjibu sana, nakupenda sana najua utasoma hapa nakupenda.
Nachoweza sema mapenzi ndoa hakunaga formula bwana, huchanua popote.
 
Hakuna mbinu universal mkuu. Kila mtu anajitengenezea za kwake kulingana na mahitaji yake!

A man with dreams, needs a woman with character!

Kuna jamaa anaitwa Behaviourist yeye anataka Chura tu. Bila chura haelewi kitu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tunatofautiana mahitaji.
Yah sure asee.
 
Mhhh iyo sifa namba moja akiipata inaweza kuchangia ndoa kuvunjika kama atakua na ubongo wa kujiless

Asilimia kubwa ya wanawake wakiwa na biashara tena awe kafungua mwenyewe bila mchango wa mwanaume aisee hapo mshkaji atajuta
 
Back
Top Bottom