Wanaume wamebadilika wanawake pia webadilika mkuu
Kwa sasa ndoa sio must ni option tu
[emoji1] [emoji1] akirudi kujibu nitag. Tatizo hawa wanakaa wanasikiliza ndo kungwi sijui wanajazana ujinga tu eti ndoa ni option, hakuna hata mwanamke mmoja asietamani ndoa hio option huwa inakuja baada ya kuruka ruka ukatumiwa ukagonga miaka ya kuanza kuwa bibi ndo huo msemo unakuja lakini na majuto ndani yake.Kuna mambo hayabadiliki Mkuu. Hiyo unayozungumza ni porojo tuu za kitaa. Ila embu isikilize nafsi yako ndio itakuambia ukweli. Je ni kweli kwako ndoa ni option au baada ya kukosa mtu ndio umeona hivyo?
Kama ndoa ni option je Amri ya usizini imepitwa na wakati hivyo watu wazaane kama mbwa tuu bila ndoa?
Usisikilize watu wanasemaje. sikiliza Mungu anasema nini, na nafsi yako inaelewa nini.
Siwezi tumia akili nyingi kuleta hoja wakati umeleta maada ya kipumbavu kabisa. Na kwa sabb umeandika upumbavu hvo sharti ujibiwe sawasawa na upumbavu wako..Uelewa wako ni mdogo Mkuu samahani lakini. Kila unachokiona hapa duniani lazima umuombe Mungu akupe kibali cha kukitumia. Sio mke, chakula, mavazi n.k. Vitu vyote ni mali ya Mungu. Soma Biblia utaona manabii walipataje wake zao na sio kuleta porojo zako hapa. Mtafute Nabii Ibrahimu, Isaka, Yakobo n.k. Waangalie walitumia vigezo gani kupata wenza wao.
Njoo kwa Waislamu, Muangalie Bi. Khadija alitumia kigezo gani kutaka Mtume Muhamad (S.A,W) awe mume wake.
Kanuni ni Omba, Tafuta, Bisha.
Ukibisha uwe na hoja sio kujivua nguo
Mwanamke Mwenye akili timamu na anaejua thaman yake hawezi zingatia ujinga huu ulioandika hapa eti amuonge mwanaume,kumtumia picha za uchi na uchafu mwengne ulioandika .....labda hao makahaba wasiojielewa wenye akili kama zako..Wenye akili hawawezi kubisha watachukua hatua
Very interestedI only need a smart woman, hayo mavigezo mengine hua ni mbwembwe tu!
I'm gonna fall for your brain, not your butt!
Hahahahaha kufa tenaWanawake msibishie hilo andiko,mtakufa!
Afadhali umekuja mwenyewe. Hivi ukiparalyze afu mumeo/mkeo ni goigoi hajui kufanya kazi unadhani familia itaishia wapi kama sio kuparanganyika. Unazungumzia Kuparalyze umesahau kuna kufa ambayo ndio top. Kazi ni kipimo cha utu. Hata sheria zinasema.
Fanya kazi siku zita siku ya saba pumzika. Unadhani kwa nini umeambiwa ufanye siku zote hizo na ukapewa siku moja tuu ya kupumzika? Je Yesu anaposema asiyefanya kazi na asile akili yako inakupa tafsiri gani ya lengo la maisha? Je mtu asipokula ataweza kuishi kwa mrengo wa kimwili?
Kama unauelewa mkubwa hutoshindwa kuelewa jambo dogo kama hili.
Kabisa.Maana dada zetu ni wabishi had I nachukia.Hahahahaha kufa tena
[emoji1] [emoji1] akirudi kujibu nitag. Tatizo hawa wanakaa wanasikiliza ndo kungwi sijui wanajazana ujinga tu eti ndoa ni option, hakuna hata mwanamke mmoja asietamani ndoa hio option huwa inakuja baada ya kuruka ruka ukatumiwa ukagonga miaka ya kuanza kuwa bibi ndo huo msemo unakuja lakini na majuto ndani yake.
Ningefurahi mwingine angeibuka na mada ya wanaume kuchepuka ni lazima kilichopo ni heshima tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!