Siwezi tumia akili nyingi kuleta hoja wakati umeleta maada ya kipumbavu kabisa. Na kwa sabb umeandika upumbavu hvo sharti ujibiwe sawasawa na upumbavu wako..
Nimekwambia lete hvo vifungu vya bible au Quran vinavyoainisha mwanamke akitaka mume amuonge..ajipendekezee..sijui amtumie picha za uchi na upuuzi mwengine ulioandika umeshindwa..
Lete hvo vifungu kwanza angalau ntatumia busara na akili kidogo kujibu ujinga wako...acha kutoka mapovu we lete vifungu hapa hadharan.
Mwanamke Mwenye akili timamu na anaejua thaman yake hawezi zingatia ujinga huu ulioandika hapa eti amuonge mwanaume,kumtumia picha za uchi na uchafu mwengne ulioandika .....labda hao makahaba wasiojielewa wenye akili kama zako..
Sasa hapo si ipo wazi kabisa. Mbona sioni swali kwa akili hata ya chekechea
Hapo siwezi jibu hata angekuwa mtoto mdogo asingeweza fikiri swali dogo kama hilo sembesu dada kama wewe ninayekuona unaakili
Mbona hizi ni kama mbinu za kupata mario na matozi.....
Mwanaume wa kweli hatafutwi hivi
Wanawake msibishie hilo andiko,mtakufa!