Wanaokesha micktin au makanisani ni walio desperate okay put that into your head
Hilo LA kujipendekeza Na kuhonga mmmh. Mimi namtafuta mwanaume wangu kwa sababu naona Furaha kumtafuta sio kumjaza anipe ndoa. Kwahiyo ndoa ikishapatikana tunaacha kufanya hayo mashinikizo tunarudi kwenye uhalisia eeh?
olewa/oa na mtu anayekupa furaha,ukiwa nae una Amani,
uking'ang'ania vitu vingine vitapotea,
shepu ukizaa watoto wawili watatu shepu kwishney labda uwe mtu wa discipline,mazoezi kidogo
..kama ni pesa,mke/mume wako anaweza kupata redundancy au ugonjwa ukampata akashindwa kutimiza majukumu yake,utamwacha???...
Kama ni sex,we as humans tuna limited cycle ya reproduction period,je outside this period,uta cheat??
ndio maana ndoa nyingi hazina Amani,
sababu mli act kwenye uchumba,
in reality mmekuta mambo sio kama mlivyotarajia,
huwezi ku fake kwa mtu unayelala nae,unaamka nae
kuwa na mtu ambae uko CONFIDENT kuwa anakusikiliza,mna maelewano,akikuudhi anajua,ukimuudhi unajua
hapo mtasikilizana mpaka uzeeni,
wengi hawajui kitu muhimu ni MAWASILIANO,
Mistari miwili ya mwisho imekamilisha kila kitu, ahsante mpenzi wangu sikuwa na vyote hivo ila akanchagua katika wasomi aliokutana, akanchagua ktk wazuri wa wazuri wakati mwingine hata huwa namuuliza uko proud na mie ananjibu sana, nakupenda sana najua utasoma hapa nakupenda.
Nachoweza sema mapenzi ndoa hakunaga formula bwana, huchanua popote.
Hivi chura ni nini ba ndugu? Kuuliza sio ujinga nimaachwa mahala!Huna kazi wala hujishuhulishi utaishia kuchezewa tuu.
Huna ajira
Huna elimu
Huna kazi
Huna chura
Huna tabia njema
Huna akili
Huna uzuri wowote.
Ulichonacho ni Papuchi nani atakuoa? Unadhani ndoa ni papuchi?
Mapenzi it's all about priorities, wakati wewe unadata na hiki mwenzio anadata na kile, mbaya zaidi love is blind sometimes hasa pale unapokutana na kile unachokipenda zaidi (mfano labda unapenda chura halafu ukamkuta mwenye nayo) hivyo vigezo vingine vya tabia n.k huwa havizingatiwi kwa walio wengi wetu ndo maana ndoa zetu nyingi huishia kuyumba kila siku kama sio kuvunjika kabisa!!!
Naweza kujipendekeza kwenye pesa tu sio kwenye mapenzi. Yani nijipendekeze kisa ndoa?Mkuu, jambo lolote ulitakalo sharti ujipendekeze. Sio tuu ndoa, sio pesa, sio siasa, sio imani. Kujipendekeza ni moja ya kanuni muhimu katika kufikia malengo. Ukijifanya huna shobo hapo ndipo unaumia. Muulize MO, Bashite, Diamond n.k.
Kujipendekeza kwa mwanamke sharti kuwe endelevu, hata kwenye maisha lazima ujipendekeze. Vinginevyo maslahi yaishe ndipo nawe uache. Kama unauelewa mkubwa utakuwa umenielewa