Kama unastress pitia hapa ucheke kidogo na uache neno

bukoba04

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,402
1,291
IMG-20170219-WA0012.jpg
 
Maiti moja alikua anasafishwa mara gafla akacheka kwa nguvu sana, wale waoshaji wakaogopa sana. Wakamuuliza: "Sasa unacheka nini? We Si umekufa wewe?? Maiti Akajibu: Si mnanitekenya, Mi staki bwana" akafa tena.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom