Nipo hapa nakula album ya "Dynastie ii vol. 1" aisee Ferre Gola anajua

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,352
Siku ya leo nimeamka na mzuka wa rhumba sasa katika pitia pitia za wasanii wakongo nikapitia album hii mpya ya ferre gola iitwayo Dynastie ii vol. 1 aliyotoa mwaka huu mwezi oktoba.

Aisee ferre gola anajua balaa sio kwa hii mikwaju iliyohumu kama huu wa Visas ni balaah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom