Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,603
8,552
Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao.

Aisee tutunze afya zetu.
 
Wela list ya hayo makampuni hapa
Kwamba ni "wela" list ya hayo makampuni?. Lengo la uzi nikuhimiza tutunze afya zetu kama tunahitaji kupata kazi kwenye international companies. Kuyajua ingia gugo andika list of "International companies oparate in Tanzania ". Au nenda kituo cha uwekezaji Tanzania uombe list ya international companies zinazofanya kazi Tanzania watakusaidia.
 
This is very true, kampuni za nje wengi wanawapima watu wao wanaotaka kuwaajiri ila wengi hua wana aim sana hapo kwenye ngoma.

Na wanawapeleka hospital zao maalum hauendi kujipima mwenyewe maana wanajua mtu utafoji majibu.
 
Ndio maana najitunza sana, one day I will be paid more than that I think
 
Kama una mojawapo ya hayo magonjwa hawakuajiri?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…