Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

Imagine wewe ni mtangazaji unafanya kazi kituo cha redio halafu unaingia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi,yani watu watakuwa wanakubonyezea huku wakiwa wanakusikiliza ukitangaza.
Daaah! Omba usioane na mwanamke Malaya , utajuta!
 
Sio wote, ata wa shift za mchana kama wanatabia hizo wanagongwa tuu uciku c hoja
 
Hivi mbona wabinafsi hivo!kizur kula na mwenzio..hahah ukitaka wako muumbe tu!! Ila kupigiwa hakutaa kuishe
 
na wale wanao bonyezewa mchana mchana je inakuwaje hapo
 
na mazingira pia yanahusika, tafuta mwanajeshi au polisi anaeishi mazingira ya bush afu unipe mrejesho wanaothubutu kwend pale mida isiyofaa n watu wa design gan.... Kama hujafika ukaona mbwa mkali wakati wamefuga kuku tu.
 
Umalaya ni tabia ya mtu kuna watu wanajiheshim na hawawez kufanya ujinga huo na mara nyingi huwa tunaomba mungu atuhepushe na maradhi kama wenzi wetu wanatabia za kishenz kwa sabab ni ngumu kugundua cz watu tupo bize na kutafuta pesa hatujui yanayoendelea nyuma wakat tupo kazin au safar....
Eeh Mungu tuepushe na maradhi!!!!
Chonga sana utakuta wewe mkeo au dem wko ndo analiwa ovyo ovyo shwainiiii
 
Kwa hawa nyumbu wa kizaz hiki hata ukiwa nae Massa 24 atapigwa tu kitu ya fasta aendapo kwa mangi, kwa jiran kutafuta ubuyu, sokoni nk......
 
Kuna jamaa mmoja alimpeke mkwewe kwenye harusi, kadi ilikuwa single. Jamaa akabaki nje kumsubiria wife.
Mwanamke akaingilia mlango wa mbele, akatokea wa nyuma. Akachukua bajaji akaenda kwa mchepuko wake.
Akagongwa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, alipomaliziwa haja zake akarudi kwenye ahrusi kuungana na wenzake.
baada ya harusi kwisha akarudi kwenye gari la Mumewe na kurudi mahome.
Hao ndo wanawake mazeeeeeeeeeeeeee.
daaaaaaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom