Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

Tatizo unaongelea watu waliooa wanawake makahaba. Kama mwanamke alieolewa anajiheshimu hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo. Bahati mbaya sana taarifa mbaya siku hizi ni nyingi kuliko mambo mazuri yaliyotuzunguka. Tukiacha ubinafsi na kuona hawa wanawake tunaowazungumzia kwa namna hasi kuwa ni dada zetu, mama zetu, wadogo zetu, mashemeji zetu na hata ndugu/jamaa zetu ambao wanastahili heshima, tusingekuwa tanaanzia thread kama hizi.
Ngoja nikuulize mtoa mada, kama dada yako angekuwa ameolewa na mtu anaefanya kazi ya shift, ungemshauri amuache dada ako? kuna wakati tuache kufikiria kwa kutumia moyo huku ubongo uko idle.
Hivi Unamjua Mwanaume Au Unamsikia? Siye Wanaume Ni Watu Hatari Sana Pindi Unapomtaka Mke Wa Mtu Ni Rahisi Sana Kumuweka Mikononi Kuliko Ambaye Hajaolewa
 
Mkuu ukiwa na mke mzuri hata usipokua shifti watu wanakupigia kama kawaida cha muhim usifatilie sana haya mambo
Kweli kabisa usifuatilie, mpaka hospitali wakwambie sasa ni muda wa ARV.
 
Nawapa Tahadhari Mnaofanya Kazi Za Shift Haswa Shift Ile Ya Usiku Kama Umeoa Juakuwa Nyuma Huku Watu Wanabofya Kizenji Mkeo,nayasema Haya Kwakuwa Nina Uzoefu Na Haya Mambo


MWISHO: POLENI MADAKTARI,WATANGAZAJI,POLISI NA WANAJESHI
Uzi wako huu utakufanya siku moja ulale gizani,
wafanyakazi wa mashirika ya umeme wataacha kwenda kazini
usiku,matokeo yake mme mwenzio ataingizwa ndani
na wewe ukiwepo hapo hapo na mwenzio atabonyezwa
ukiwepo hapohapo,wewe utakuwa unasikia mtikisiko wa kitanda tu.
Ukiulizwa utaambiwa ladba ni tetemeko la ardhi.

wacha watu tufanye kazi hayo mengine
mwachie Mungu.
 
Mkuu kama wanabonyeza kizenji hakuna noma dah ungesema wanabonyeza kibara ni hatari sana aisee...ila inategema ntu na ntu
 
Imagine wewe ni mtangazaji unafanya kazi kituo cha redio halafu unaingia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi,yani watu watakuwa wanakubonyezea huku wakiwa wanakusikiliza ukitangaza.

Hahaaaa,hii coment ya mwaka

Kama unapiga zile slow music wanafungulia kipind uku wanasindikizia show

Hakuna mwanamke wa pekeako over.
 
Hahah.. Yan hawa walinzi{wajeshi} nawafanyaga vibaya sana wake zao, kuna dem wa mjeda hapa hom.. Anavizia mumewe akienda lindo anakuja mageton najilia vyangu anasepa, tena nakimbiza kisawasawa ili kulipiza ule ubabe wao, maana hawa jamaa ukiingia mkononi mwao wanajifanya wababe sana!
 
Uzi wako huu utakufanya siku moja ulale gizani,
wafanyakazi wa mashirika ya umeme wataacha kwenda kazini
usiku,matokeo yake mme mwenzio ataingizwa ndani
na wewe ukiwepo hapo hapo na mwenzio atabonyezwa
ukiwepo hapohapo,wewe utakuwa unasikia mtikisiko wa kitanda tu.
Ukiulizwa utaambiwa ladba ni tetemeko la ardhi.

wacha watu tufanye kazi hayo mengine
mwachie Mungu.
Teh Teh Mie Ndo Maana Naogopa Kuoa Maana Nimewala Sana Wake Za Watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom