Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

ndio mkuu ujue wewe unavyopiga wake wa wenzako na wewe lazima upigiwe mfumo uko hivyo
Na wewe kama ni mke wa mtu au utakuja kuwa mke wa mtu, Je, ukitongozwa utakubali kubonyezwa kizenji? Tupe ukweli wako dada.
 
Nawapa Tahadhari Mnaofanya Kazi Za Shift Haswa Shift Ile Ya Usiku Kama Umeoa Juakuwa Nyuma Huku Watu Wanabofya Kizenji Mkeo,nayasema Haya Kwakuwa Nina Uzoefu Na Haya Mambo
Hihihihi mwanamke anaweza kufanya wakati wowote

Au ww umesema mzoefu kumbe huwa unawamendea wake za watu Shem on you

Mwanamke kama ni mtafuta mbolo atatafuta tu na unaweza ukamsindikiza kugongwa
 
Nawapa Tahadhari Mnaofanya Kazi Za Shift Haswa Shift Ile Ya Usiku Kama Umeoa Juakuwa Nyuma Huku Watu Wanabofya Kizenji Mkeo,nayasema Haya Kwakuwa Nina Uzoefu Na Haya Mambo
Tatizo unaongelea watu waliooa wanawake makahaba. Kama mwanamke alieolewa anajiheshimu hawezi kufanya huo ujinga hata kidogo. Bahati mbaya sana taarifa mbaya siku hizi ni nyingi kuliko mambo mazuri yaliyotuzunguka. Tukiacha ubinafsi na kuona hawa wanawake tunaowazungumzia kwa namna hasi kuwa ni dada zetu, mama zetu, wadogo zetu, mashemeji zetu na hata ndugu/jamaa zetu ambao wanastahili heshima, tusingekuwa tanaanzia thread kama hizi.
Ngoja nikuulize mtoa mada, kama dada yako angekuwa ameolewa na mtu anaefanya kazi ya shift, ungemshauri amuache dada ako? kuna wakati tuache kufikiria kwa kutumia moyo huku ubongo uko idle.
 
Imagine wewe ni mtangazaji unafanya kazi kituo cha redio halafu unaingia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi,yani watu watakuwa wanakubonyezea huku wakiwa wanakusikiliza ukitangaza.
Mwanamke Alale Usiku Kucha Peke Yake
 
Back
Top Bottom