Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Kazi kwako.
Usije dhani kila asiye taka kuoa au kuolewa anapenda

1. Wengine ni hanithi kwa hiyo kuficha siri yake hataki ndoa

2. Na wengine wagumba/tasa au wamejiharibu sana kiasi ambacho kila ampatae anamuacha kwa sababu ya kuharibika hivyo hawezi furahia kuolewa ili kujikinga na aibu. Labda ahudhulie kliniki ya wataalamu wa kisaikolojia.

Wasiotamani kuoa au kuolewa ni wagonjwa kama wengine wahurumieni sana wanahitaji msaada hawana tofauti na mateja wanaotamani kutoka huko ila madawa yamewateka
 
Usije dhani kila asiye taka kuoa au kuolewa anapenda

1. Wengine ni hanithi kwa hiyo kuficha siri yake hataki ndoa

2. Na wengine wagumba/tasa au wamejiharibu sana kiasi ambacho kila ampatae anamuacha kwa sababu ya kuharibika hivyo hawezi furahia kuolewa ili kujikinga na aibu. Labda ahudhulie kliniki ya wataalamu wa kisaikolojia.

Wasiotamani kuoa au kuolewa ni wagonjwa kama wengine wahurumieni sana wanahitaji msaada hawana tofauti na mateja wanaotamani kutoka huko ila madawa yamewateka
Nimekuelewa mkuu
Hebu tuangalie upande wa Pili kwa mtu ambaye hana hayo matatzo uliyosema na ana fall hapo juu kwenye numbers
 
Kwani mwanamke anajioa????
Tunaongea wenye madushe.
WengiWengi wavulana wanaume hawana muda wa kuwazungumzia wanawake kazi yao kusaka pesa na kuchagua mwanamke anaefaa basii maswala ya kutoa unyago hawana.
 
Wanaume wenye fikra fup ndio wenye msemo kama wako. Mtu ana binti wa miaka mitano tayar keshaanzaa andaa mazingira ya kuolewa
Hao 5% waliobaki hawaliki ni sawa na chenga zisizopita kwenye chekeche hupewa kuku.
 
sasa mbona mnawaoa ambao wako kinyume na hizo sifa hapo juu.... the wanaume tena mnachepuka kufata wenye sifa hapo juu... sielewi elewi kwani mnatakaje... mwenye sifa zote pamoja??????
Hao wanaume watumia ni for shot term hawawezi pewa long term maana wamekosa vigezo fainali yao uzeeni
 
kuoa kwa siku hizi nako kuna kasoro, kuanza kubanduana ndiko kunakopelea mtu aoe mwanamke mwenye tabia za kicheche, kwa kuwa anazia kutongoza badala ya kuchumbia moja kwa moja, na katika kutongoza ni wachache wanaokubali usumbufu.
wanalazimika kutongoza wanawake vicheche, yaani wenye tabia zilizoainishwa hapo juu,
sasa wakishazoweana, mapenzi nyanaficha makosa, mwiaho unasikia jamaa kajitwika ule mzigo!
Kwa hali ya sasa kubandua ni muhimu maana unaweza kuta shoga. Utafanyaje? Tafakari. Tena ikiwezekana ashike ujauzito he ! ikiwa mnapiga hadi punyeto za ncha ya meza ni hatari. Vijana kuweni makini usirubunike kwa sura. Kumbukeni "uzuri wa mkakasi? Ndani kipande cha mti"
 
Mkuu hata aibu huoni ????
Yaani mtu unavaa minguo kama changundoa halafu nikupeleke kwa baba na mama angu????
Kwanza nikikufikisha home nitanaswa makofi na umri Wangu huu na MZEE Wangu. Nani aliwaambia ukivaa kama kahaba ndo utapendwa?????
Tena kwa wakurya watakuitia kikao wakunase viboko
 
Kuolewa ni bahati mkuu....
unamshauri mdada ajirahisishe kwa kila mwanaume ili apate mume hapo unawapotosha....
Wadada endeleeni kuringa anaetaka kukuoa atakuja nyumbani kwenu kistaarabu cha msingi ni kujiheshimu tu....
Kutupia picha in social media haina uhusiano wa moja kwa moja na kuolewa kuna watu ukiwaona kwenye social media ni tofauti na wanavyoishi......
Kila mwanaume ana vitu avipendavyo kwa mwanamke wengine wanapenda wanawake watembea uchi, wambeawambea wengine wanapenda wastaarabu wanaojistiri hii ni kutokana na mwanaume jinsi anavyoishi huwezi ukamkuta mwanaume mtu wa club akaoa mwanamke wa dini veery different.....
Mwanamke anaeswali atampata mwenzie ustaadh, mwanamke mwimba kwaya atampata mwenzie kanisani, mwanamke msomi atampata msomi mwenzie, na mwanamke mnywa gongo atampata mlevi mwenzie.....
Mungu kaumba watu tofauti wakiume na wakike ili mambo yaweze kwenda Mungu si mchoyo
 
hahahahah hlf kuna uzi mmoja kuna mdada kakataa kutoa mpaka aolewe wengiwao wamemponda kumwambia utaolewaje bila kutoa game tujue yaliyomo yaamo... hlf tena unataka demu asiekua kicheche... wkt wooote mnataka kuonja kabla... humu kelele nyiiingi mnatakaje sasa... maana kila mmoja anataka kuonja ukicheche utakwepekaje
Kuonjwa muhimu ila si hoja hapa. Hoja ni tabia fukuzishi kwa ndoa hasa uvaaji. kuojwa onjwa ila vaa kwa staha eboo
 
Back
Top Bottom