Kweli kabisa… na walivyo na midomo mirefu watapinga sana , kumbe ni ukweli umewagusa na kwakuwa walishapoteza nafasi zao basi watapotosha wengine kwakupinga uzi kusudi wapate wafwasi wa tabia zao …Waelewa wamesoma wakasema *napita* ila wenzangu na mimi au ATM machines wataleta ubishi mpaka kesho
Wee utakuwa mmoja wapo , maana unaonekana una mdomo sana na mbishi mbishi sana wewe
kuolewa kunachukua 95% au zaidi kwa wanawake.Aiseeee. Kwani kuolewa lazima?
Huyo HG anajitambua.Kuna mmoja hivi mpaka akamchukilia RB jamaa eti anamsumbua.Jamaa akamposa beki3 wao.That time ndio demu alikua kamaliza f4. Alikua na mkia umenona kama wa kondoo wa Kizanaki,but house girl alikua std7.
Now days mdada maringo anauza watch mosquito watch(SAMBUSA) akiwa na watoto 2 wasio kua na baba while beki tatu ni mwasibu wa tawi moja la bank ya posta town Dar baada ya kupigishwa kitabu na jamaa yake.
Lzima
[emoji61] [emoji61] [emoji61]Hahahaaaa waaaowww
kuolewa kunachukua 95% au zaidi kwa wanawake.
asyeyaka yupo katika makundi mbalimbali yanayojaza hizo 5%
Acha kupotosha. Inaonekana wewe ni ATM machine iliyokubuhu yaani ATM machine sugu. Yaani unataka kuhalalisha watu wasiolewe ili wabaki ATM machine????? Haaaa!!!.Wanaume wenye fikra fup ndio wenye msemo kama wako. Mtu ana binti wa miaka mitano tayar keshaanzaa andaa mazingira ya kuolewa
Acha kupotosha. Inaonekana wewe ni ATM machine iliyokubuhu yaani ATM machine sugu. Yaani unataka kuhalalisha watu wasiolewe ili wabaki ATM machine????? Haaaa!!!.
mkuu, kwanza unapojadiri usimbeze unaetofautiana nae mawazo,Wanaume wenye fikra fup ndio wenye msemo kama wako. Mtu ana binti wa miaka mitano tayar keshaanzaa andaa mazingira ya kuolewa