Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Aiseeee. Kwani kuolewa lazima?
Kuolewa si lazima ila inaongeza heshima haijalishi mke wa kigogo au mkulima! Na ole wenu msiopenda kutafuta vyenu mnatamani tu vya wenzenu! Mtaishia kuchezewa,mnamegwa,mnaachwa na hata mkiolewa,ndoa inajaa visa na karaa.......!!! Ni gwear huyo R.I.P bro!
 
Hizi tabia katika kila namba lazma kila mmoja ambaye ana fall under that category utamgusa kwa namna yake. Kwa hyo mkuu wewe unapenda kuvaa ovyo ovyo kama changundoa????. Ebo!!!!
Aah babu we nyakati zimebadilika hatuwez kuvaa kama kama watu wa kale
 
Aah babu we nyakati zimebadilika hatuwez kuvaa kama kama watu wa kale
Kila mmoja ataguswa na namba inayowakilisha tabia yake. Kwa hyo wewe unapenda kuvaa ovyo ovyo kama changundoa?
 
Junior Boss (Mleta Mada) [emoji23][emoji23]

Endelea kuwafunza yan umetoboa mule mule chief. Wamezidi sanaaa.....kuna wawili nawajua mmoja ana 35 years mwingine 36 ni warembo kweli.....bado wanasota kwa wazazi wao tu.....mpaka unashangaa mwanamke huyu anakosaje mtu wa maana.

Wamebaki kubutuliwa na kuwachwa....wadogo zao wa juzi tu wanatongozwa wanaolewa wana makwao wao bado wanahangaika tu.

Jamani mwenye masikio asikie na aelewe......its time baadhi ya wanawake wajifunze kuishi na wanaume. Wanaume hatupendi mwanamke headache, mwanamke mvivu asiyejituma, asiye na malengo, asiye mwenye maono ya mbali, asiyekua mvumilivu, asiyekua muelewa (yeye anakua anataka pesa tu siku ukimwambia umekosa hakuelewi, anakuona mseng*, life got ups and downs.

Mjifunze kuwa waelewa na wavumilivu, show ur man ur there for him during the good and bad, encourage and respect him, kaa nae chini at tyms kuwa mkali kwake kwa mambo ya maendeleo na kwa ustawi wa familia yenu (i.e. justified anger. I assure u kamwe hatoinua mkono wake akupige...atakua mkali tu lakini deep down inside him the love he has for u will grow massively, hata akifanya kosa utaona anakuogopa ataficha sana wewe mkewe usijue, that is love binded by respect)....hata siku moja hawez pata hela akakusahau...

Show him he z the man, the real Deal. Lazima atatulia tu. Men need a sense of pride from a woman.....wacha mapepe/ukorofi otherwise hata mwanamme awe na hela ka Bill Gates ataishia kukutawanya na kukuacha tu miaka 800.

OVER !!
 
DEAR LADIES ,

BITTER TRUTH YOU MUST SWALLOW :

1. Sex doesn't keep a man, if you like, turn 360% on bed, he will still dump you. Bleach until you become white, if he doesn't notice the qualities of a wife in you, he will leave you.

2. A man who win your love with cash may not stay forever. Real men doesn't settle down with fake women who love money.

3. The beauty of a woman can take her to a Palace but her character will determine how long she stays in the palace. Beauty attracts men but character keep them.

4. Material things definitely has its merits but it cannot alone provide the riches of a truly meaningful life.

5. Being sexy without a character will not get you a husband, you will only get a boyfriend.

6. Sex can bring pleasure but it can never bring love, sex is a product of love, love is not a product of sex.

7. Sex can make a man stay with you overnight but love will make him stay for a lifetime.

8. There are some things that money just can't buy like manners, moral and integrity.

9. How you dress will definitely determine how men will address you.

10. The nudes u post on social sites will only attract you men full of lust, after using u sexually they will move forward and settle with decent ladies

Ask yourself what are u worth?

Are u an object?

Is this what God created you for?
 
Mnh am above 30,ila I won't settle for less,baba wa wanangu na mume kwa mimi,atakuwa ni mtu niliyeshibana nae
 
*KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI*

*1. Tamaa ya utajiri*
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjin.
*2. Dharau,*
maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi.
*3. Husali*
hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae kama mtumba wa uvira. MWENYEZI MUNGU ndo anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja kama MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema.
*4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa*
. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Casino yaani ukipita nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani atakupeleka kwao?
*5. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kibembe*
au kizaramo kwanza mnatutisha tu.
*6. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume,*
yani ukiguswa kidogo tu twende.
*7. Kuwa na picha karibia 500 Facebook,* Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo,
*8. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook* na kadhalika
nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.
*9. Ni mtu wa maneno maneno*
yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?
*10. Huna mawazo ya malengo*
endelevu yani we kwenye kichwa chako kumejaa umbea tu sijui leo Wema Sepetu amefanya nini? Sijui Kim, Lupita amefanya vile na upuuzi mwingine.
*11 Mizinga.*
Yani siku ya pili tu baada ya kukutongoza unaanza " honey nataka galaxy" Htc" Huawei" mara baby nimeona nguo nzuri. HUJALOGWA..
 
Back
Top Bottom