Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

0f3a1455053765b862e7d247cf96b2d4.jpg
 
Hiyo.namba 5

Hivi wale wanawake wanapakaga marangi rangi wanajifeel.comfortable kweli??

Hata nikilewa sitongozi demu km huyo naona kama JINI tuu,

Tuludi ktk mada mkuu sina hoja
 
Kuolewa ni bahat!
hamna fomula mtu anaweza kuwa na tabia hzo zote na akaolewa,kila shetwan na mbuyu wake!
palipo na upendo wa kwel kasoro zinastahimilika na mtu anajirekebisha!
u re suppose to love someone with their imperfections and love them perferctly!
ndoa nying hazina furaha sabab wanaume wanaoa wanawake baada ya kuwafanyia usahil mda mrefu na kuwachunguza wanasahau kujihoj wanawapenda!?ndo mana japo wake zao wana tabia zote njema hawatulii ktk ndoa zao!
ndo mana mwanaume akaagizwa neno muhim "mpende mke wako"
fikra km hz uwafanya wanawake wasio na bahat ya kuolewa wasijiamin ktk jamii sabab jamii inaami anakasoro fulan!
utampata wa kufanana na wewe km wapo wanawake wa tabia hzo na wanaume wa hivyo wapo pia!mfano no. 7 na 8 mbona hata wanaume wa ivyo weng tu wapo
na wanawake wanaopost kila kitu ktk mitandao tunawaona wanaolewa na wanaendelea kupost maisha yao daily!
jaman tusiendeleze mfumo dume mbona siku hz kuna wanaume weng tu nao wanazeeka bila ndoa kwan si jambo jepes kumpata mtu sahh wakuoa!
 
Back
Top Bottom