Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

Daaa hii habari imenikumbusha mbali sana. Kulikuwa na Dada mmoja mzuri sana but alikuwa nadharau balaa anajibu watu kwa nyodo hatari. Baadae akapata jemba mmoja kamgengeda n kumpachika mimba. Jamaa akamtelekeza na kukwea pipa kwenda majuu hadi leo jamaa harudi. Demu kachoka kachakaa balaaa.
Ukimuona mkuu mwambie namsalimia. Mwambie pia kuwa kama yeye ni mzuri basi aolewe. Single mother???? Mhh?????
Anavuna alichopanda. Tabia yake aliionesha kabla hata hajaolewa. Sasa nani wakuoa mtu ambaye unamfahamu Tania zake zile mbaya????
 
Ninyi ndyo mnafanya mabinti waishi maigizo na wawe desperate na ndoa.Hadi wengine kujibebesha mimba aolewe!!
Binti ishi maisha usiishi maigizo
Nb..sisemi uwe na tabia mbaya...usiishi tabia njema ili uolewe!
 
Kweli kabisaa, mawazo kama haya ndio huwafanya wanawake wengi wewe desperate na ndoa! Bila kujali kuwa ndoa haihitaji kukurupuka, ndoa zenyewe zina matatizo kibaoo alafu wanataka watu wakurupuke
 
Kweli kabisaa, mawazo kama haya ndio huwafanya wanawake wengi wewe desperate na ndoa! Bila kujali kuwa ndoa haihitaji kukurupuka, ndoa zenyewe zina matatizo kibaoo alafu wanataka watu wakurupuke
Kisa mwafulani kaolewa
 
Hahaa so ukaweka na ka english kuonekana mjaaanjaa. I know una maana nyingi kwenye neno ATM(yenye ukakasi unaojua) ila kaa ukijua ndoa sio lazima.
Mkuu
Sikuwa na maana mbaya. What I meant is.
Unaposhindwa kutulia kwa mwanaume mmoja means uta provide a room ya wanaume kibao kuchomeka madushe yao(card) na wakati huo ww uki act like ATM machine(papuchi). Sina maana mbaya mkuu.
Inaonekana mkuu nawe ni ATM machine nn?????
 
Wamekusikia ila asilimia kubwa maskio yamekazwa kwa spana ile inaitwa malaya kila tundu limezibwa
 
*KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI*

*1. Tamaa ya utajiri*
fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjin.

*2. Dharau,*
maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi.

*3. Husali*
hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae kama mtumba wa uvira. MWENYEZI MUNGU ndo anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja kama MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema.

*4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa*
. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Casino yaani ukipita nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani atakupeleka kwao?
9033fe4051a676ba1777942b1d0aa3a3.jpg
.

*5. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kibembe*
au kizaramo kwanza mnatutisha tu.
dca9c54c6a8efbed6961db1a9651f120.jpg
247c7d9d7e0f408fe2f23a38e944fc9d.jpg

*6. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume,*
yani ukiguswa kidogo tu twende.

*7. Kuwa na picha karibia 500 Facebook,* Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo,

*8. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook* na kadhalika
nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.

*9. Ni mtu wa maneno maneno*
yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?

*10. Huna mawazo ya malengo*
endelevu yani we kwenye kichwa chako kumejaa umbea tu sijui leo Wema Sepetu amefanya nini? Sijui Kim, Lupita amefanya vile na upuuzi mwingine.

*11 Mizinga.*
Yani siku ya pili tu baada ya kukutongoza unaanza " honey nataka galaxy" Htc" Huawei" mara baby nimeona nguo nzuri mara ooh baby yaani njaa inauma'' , utasindikiza harusi za wenzio hadi upigwe alama..

Waswahili husema, "Kama mzuri, Olewa"

Jihadhari sana na tabia hizi.
Hakuna ukweli wowote hapa.[emoji149] [emoji151] [emoji151]
 
Hahaa so ukaweka na ka english kuonekana mjaaanjaa. I know una maana nyingi kwenye neno ATM(yenye ukakasi unaojua) ila kaa ukijua ndoa sio lazima.
Natambua hilo mkuu.
Ndo maana nilianza kusema kuwa unaweza kuchagua kuolewa au kutoolewa. Na kama utachagua kutoolewa utakuwa ATM machine(papuchi). Huwezi kuniambia eti mtu mwenyewe hujaolewa basi utabaki na mtu mmoja(card) atakayekula papuchi yako. Automatically watu kibao(cards-madushe)yatakula papuchi. At the end of story miziwa hiyoooo inatelemka kama ndala,uso huooooo unakakamaaa mithili ya wacheza mieleka,mata***ko hayooooo yanakomaaa kama mikono ya Fundi uashi.
 
Hahaaa yaan umejieeelaza koooteee kwa upole na utulivu mwisho umeachia bango si bango tusi sio tusi haya bana.
Mkuu
Sikuwa na maana mbaya. What I meant is.
Unaposhindwa kutulia kwa mwanaume mmoja means uta provide a room ya wanaume kibao kuchomeka madushe yao(card) na wakati huo ww uki act like ATM machine(papuchi). Sina maana mbaya mkuu.
Inaonekana mkuu nawe ni ATM machine nn?????
 
Kwan na zile dushe na vigolori vyake zinazolegea kama domo la teja huwa inatokeaje vile? ndio kusema imetumiika weee ikachoka kongoroka au? Maziwa kulala kwa mwanamke lazima iwe amenyonyesha dunia nzima au asiponyonyesha yote sawa. Wanawake walio kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa kama ni macho juu juu lazima akitembeze(na mkeo akiwemo,aaaaahhhhh sorry usiende piga mtu)
Natambua hilo mkuu.
Ndo maana nilianza kusema kuwa unaweza kuchagua kuolewa au kutoolewa. Na kama utachagua kutoolewa utakuwa ATM machine(papuchi). Huwezi kuniambia eti mtu mwenyewe hujaolewa basi utabaki na mtu mmoja(card) atakayekula papuchi yako. Automatically watu kibao(cards-madushe)yatakula papuchi. At the end of story miziwa hiyoooo inatelemka kama ndala,uso huooooo unakakamaaa mithili ya wacheza mieleka,mata***ko hayooooo yanakomaaa kama mikono ya Fundi uashi.
 
Wee utakuwa mmoja wapo , maana unaonekana una mdomo sana na mbishi mbishi sana wewe
Ukitupa nyavu ziwani/baharini lazma uvue samaki. Ukikosa samaki hata chura utapata.
 
  • Thanks
Reactions: sab
Somo wataelewa wenye akili , lakini wale vizabi zabina wabishi na walioshindikana watabishana hapa …
 
Back
Top Bottom