CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mmmhhhhh......
Tatizo mnajilengesha kwa watu ambao hawako serious, kisa umeona jamaa wa kishua lazima ujikute umeonjesha sana tuhahahahah hlf kuna uzi mmoja kuna mdada kakataa kutoa mpaka aolewe wengiwao wamemponda kumwambia utaolewaje bila kutoa game tujue yaliyomo yaamo... hlf tena unataka demu asiekua kicheche... wkt wooote mnataka kuonja kabla... humu kelele nyiiingi mnatakaje sasa... maana kila mmoja anataka kuonja ukicheche utakwepekaje
Mtu katongozwa dk mbili tu anasema haya bhana hakuna tatzo chukua namba tutawasiliana zaidi juu ya ombi lako. Wafaaaaa. Kumbe jamaa anatafta papuchi akapunguze kiherehere cha dushe lakeTatizo mnajilengesha kwa watu ambao hawako serious, kisa umeona jamaa wa kishua lazima ujikute umeonjesha sana tu
Mkuu. Sahamani lakini umeolewa?????
Nina lengo zuri sana mkuu. Nijibu basi. Hata usiogope tupo hapa tunajadili mambo ya jamii
Sure mkuu. Kuna mdada alikuwa na face maridadi na murua kabisa ila mpaka muda yuko 32 years halafu bado anakula kwa mama na baba ake. Kila Mara kutobolewa na madushe mbalimbali. Mwisho wa siku siku sura kakomaa kama mbeba zege. Ukimu hag mabega magumu kama man yaani kakomaa mpaka anabeba zege za ghorofa.Junior Boss (Mleta Mada) [emoji23][emoji23]
Endelea kuwafunza yan umetoboa mule mule chief. Wamezidi sanaaa.....kuna wawili nawajua mmoja ana 35 years mwingine 36 ni warembo kweli.....bado wanasota kwa wazazi wao tu.....mpaka unashangaa mwanamke huyu anakosaje mtu wa maana.
Wamebaki kubutuliwa na kuwachwa....wadogo zao wa juzi tu wanatongozwa wanaolewa wana makwao wao bado wanahangaika tu.
Jamani mwenye masikio asikie na aelewe......its time baadhi ya wanawake wajifunze kuishi na wanaume.
Mbona wanawake hawalalamiki nyie ndo mnapiga keleleMkuu.
Hapa tunawasaidia. Hata hivo kuna idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume