Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,539
- Thread starter
- #61
Well said mkuumkuu, kwanza unapojadiri usimbeze unaetofautiana nae mawazo,
pili, katika hoja inayohusu binadamu wote angalia uwiano, kati ya watu 100, ni wangapi hawana mawazo hayo kabisa, achilia mbali wale waliokosa hadi wakakata tamaa.
tatu na mwisho, hoja hizi hazihusiani na maisha ya nyumbani kwangu au kwako, ni za jamii kwa ujumla