Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,342
- 2,222
Hakuna muoaji hapoAwe anavaa nguo transparent halafu awe mcha mungu!!
Hakuna muoaji hapoAwe anavaa nguo transparent halafu awe mcha mungu!!
Hakuna muoaji hapaChangamkieni fursa mabinti/wanawake🤣
Ana maana kikongweSifa no.5 ...... sentensi ya mwisho, mstari wa mwisho........ "asiwe na mashavu". Unamaanisha nini asiwe na mashavu?
Kuna binadamu asiye na mashavu kweli? Labda zombi!!
Anasumbua watu tu!!Hakuna muoaji hapo
Nguo aina ya translucent mkuu, sio transparentAwe anavaa nguo transparent halafu awe mcha mungu!!labda wale wa Riverside
Hizo sifa zote huwez mkuta singo kaka..Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:
Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:
SIFA ZA NJE
Kwanini mkuu!!? Kwa hiyo unataka nitafute mke mbaya!Kama unataka mke kwa vigezo unavyotaka wewe hutapata mke bora!
Ndio izo zenye upenyo na kuonya ndani😂😂😂ngoja ukumbane na kahaba.Nguo aina ya translucent mkuu, sio transparent
Dadeki kachukue leseni uumbe wa kwako mwenyewe 😀😀Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:
Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:
SIFA ZA NJE
Kuna mchakata mbususu😅Hakuna muoaji hapa
Unatafuta kisichokuwepo na hakiwezi kuwepo.Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:
Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:
Kwa hizo sifa unaonaje ukitengeneza wakoNiwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:
Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:
SIFA ZA NJE
1. Rangi: Asiwe mweupe pee wala asiwe mweusi tii, awe kati
2. Urefu: Asiwe mrefu saana hata asiwe mfupi. Awe wa kawaida tu, miguu isiwe mirefu kiivyo
3. Unene: Asiwe jibonge i.e nyama uzembe, wala asiwe kimbaumbau. Awe na unene wa kawaida wenye muonekano mzuri mbele ya ndugu zangu pia mwili unaotamanisha kuchakata mbususu
4. Uzito: 50 to 70 Kg for portability na wepesi wakati wa kupeana unyumba
5. Kichwani: Asiwe na blichi, awe anapendelea kusuka lasta za kumwaga mgongoni nyeusi, asiwe mpaka lipshine, asiwe mvaa heleni za kuning'inia, asiwe na kipini au bangili puani, awe na macho meupe na kope nyingi. Asiweke kope bandia, asiwe na mashavu manene
6. Kifua: Yasiwe ya kuregea, yasiwe madogo wala makubwa sana.
7. Tumbo: Liwe flat, asiwe na mining'inio
8. Tracle: Zigo liwe zigo kweli la kueleweka. lionekane pande zote mbili
9. Shape: 8 inayoeleweka, awe amejaa kuanzia juu ya kiuno hadi kati ya mapaja pande zote mbili. (Nahisi wazee wa massage na sauna mmenielewa)
10. Mguu: Wa bia, husiovalishwa vikuku
11. Kucha: Ambazo hazijawahi kupakwa rangi za Gel. Asiwe mbandika kucha bandia
12. Mavazi: Sketi zisiwe fupi kiasi cha kuyaacha mapaja nje. Asivae magaguro wala sketi (magauni) ndefu kufunika miguu. Mavazi yake yawe translucent.
14. Kipato: Asiwe mhudumu wa bar, guest ama hotel. Kipato cha kutosha kujigharamikia bila kunipiga vibomu kuanzia mavazi, chakula, malazi na afya. Mie nitakuwa naongezea nguvu tu.
SIFA ZA NDANI
1. Asiwe mtu wa kunifuatilia na kuninyima uhuru. Nami sitamfuatilia kiviiile. Aheshimu simu yangu na mie niheshimu yake
2. Moyo: Awe na huruma, upendo, moyo wa msamaha, moyo wa kuukataa ufukara, moyo wa kuwaza maendeleo, awapende ndugu zangu
3. Tabia: Ucheshi, uvumilivu, kujipenda na kujiweka safi na nadhifu, asiwe na tabia za wanawake wa uswahilini i.e akina Mwajuma na mama Mwajuma, asiwe mgomvi
4. Uwezo: Awe na kipaji mfano: Kuimba, kudance n.k
5. Awe na hofu ya Mungu na anaependa kusali, awe mkristo
SIFA ZANGU JAPO KWA UFUPI
Mpole, mcha Mungu, Nina kipaji cha muziki, Smart kwenye kuvaa, Najipenda, Mcheshi, Mchekeshaji, Makini katika kazi, mtoto wa mama, mvumilivu, fundi kwenye uchakataji mbususu n.k
PM Please!
Mfyuu manina