Kama una sifa zifuatazo, nakuhitaji kwa hali na mali, karibu tuyajenge

Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:

Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:

SIFA ZA NJE
Hizo sifa zote huwez mkuta singo kaka..
 
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wote kwa pamoja tuitikie "Kazi iendelee". Na hili nalo mkalitizame:

Anahitajika mwanamke mwenye sifa hizi kwa ajili ya uchumba, miezi miwili baadae tufunge ndoa kanisani:

SIFA ZA NJE
1. Rangi: Asiwe mweupe pee wala asiwe mweusi tii, awe kati

2. Urefu: Asiwe mrefu saana hata asiwe mfupi. Awe wa kawaida tu, miguu isiwe mirefu kiivyo

3. Unene: Asiwe jibonge i.e nyama uzembe, wala asiwe kimbaumbau. Awe na unene wa kawaida wenye muonekano mzuri mbele ya ndugu zangu pia mwili unaotamanisha kuchakata mbususu

4. Uzito: 50 to 70 Kg for portability na wepesi wakati wa kupeana unyumba

5. Kichwani: Asiwe na blichi, awe anapendelea kusuka lasta za kumwaga mgongoni nyeusi, asiwe mpaka lipshine, asiwe mvaa heleni za kuning'inia, asiwe na kipini au bangili puani, awe na macho meupe na kope nyingi. Asiweke kope bandia, asiwe na mashavu manene

6. Kifua: Yasiwe ya kuregea, yasiwe madogo wala makubwa sana.

7. Tumbo: Liwe flat, asiwe na mining'inio

8. Tracle: Zigo liwe zigo kweli la kueleweka. lionekane pande zote mbili

9. Shape: 8 inayoeleweka, awe amejaa kuanzia juu ya kiuno hadi kati ya mapaja pande zote mbili. (Nahisi wazee wa massage na sauna mmenielewa)

10. Mguu: Wa bia, husiovalishwa vikuku

11. Kucha: Ambazo hazijawahi kupakwa rangi za Gel. Asiwe mbandika kucha bandia

12. Mavazi: Sketi zisiwe fupi kiasi cha kuyaacha mapaja nje. Asivae magaguro wala sketi (magauni) ndefu kufunika miguu. Mavazi yake yawe translucent.

14. Kipato: Asiwe mhudumu wa bar, guest ama hotel. Kipato cha kutosha kujigharamikia bila kunipiga vibomu kuanzia mavazi, chakula, malazi na afya. Mie nitakuwa naongezea nguvu tu.

SIFA ZA NDANI
1. Asiwe mtu wa kunifuatilia na kuninyima uhuru. Nami sitamfuatilia kiviiile. Aheshimu simu yangu na mie niheshimu yake

2. Moyo: Awe na huruma, upendo, moyo wa msamaha, moyo wa kuukataa ufukara, moyo wa kuwaza maendeleo, awapende ndugu zangu

3. Tabia: Ucheshi, uvumilivu, kujipenda na kujiweka safi na nadhifu, asiwe na tabia za wanawake wa uswahilini i.e akina Mwajuma na mama Mwajuma, asiwe mgomvi

4. Uwezo: Awe na kipaji mfano: Kuimba, kudance n.k

5. Awe na hofu ya Mungu na anaependa kusali, awe mkristo

SIFA ZANGU JAPO KWA UFUPI
Mpole, mcha Mungu, Nina kipaji cha muziki, Smart kwenye kuvaa, Najipenda, Mcheshi, Mchekeshaji, Makini katika kazi, mtoto wa mama, mvumilivu, fundi kwenye uchakataji mbususu n.k

PM Please!
Kwa hizo sifa unaonaje ukitengeneza wako
 
mbona kama unatafuta wanawake zaidi ya kumi kwa wakat mmoja.
ukitaka mmoja mwenye sifa zote hzo nenda japan wkutengenezee roboti lako na unahitajika uwe na pesa ya maana sio kitoto
 
Back
Top Bottom