Kama una pumzi ndogo usithubutu kabisa utakufa kibudu.

Kama una pumzi ndogo usithubutu kabisa utakufa kibudu.

ila ungeanza inabido ufanyiwe upasuaji wa vihifadhia iyo manii ya kutoka zaidi ya dakika moja.

MATANGO POLI ....
 
Mchawi huyu achana naye, huenda naye ameamriwa kufanya research.
Bado nafikiria manii kutoka kwa dakika moja na nusu zitakua zimehifadhiwa sehemu gani kwa sababu kiwango kitakachotoka kwa dakika na nusu ni kingi sana? Nadhani sehemu ya kuhifadhia manii hauna uwezo wa kubeba kiwango chote hicho ambacho kinaweza kutoka kwa dakika moja na nusu non stop. Unaweza kuelezea hili?
 
Bao linatoka kwa limit mzee ukizidi hiyo limit unakufa bali kutokana na wanasayansi baadhi wanasepa unapokuwa unamwaga ukizuia oxygen isifike kwa wingi kwenye ubongo na muda unaongezeka kidogo
 
Aisee, bila shaka wewe ni mganga Wa jadi, angalia ushauri wako watu wakishikwa uchawi huko hayaa
 
Kama utahitaji kutoa mha ya dunia basi fanya yafuatayo
1. Hakikisha unajifunga kiuzi cheusi mwishoni mwa uume wako kipindi unaanza kugegedana na mke wako au demu wako.
2. Ukiwa unagegena, ukiona unakaribia kupiga bao tamka maneno haya Mara tatu "PYETUUU KIKIPYEE MAPUKUU"

HAHAHAHAH!!!!!! Aiseee, Nimecheka ki-mbwa
 
Nimejaribu kupitia hayo maneno labda nione kama yana relate na maneno ya tiba asilia kutoka Kongo ila sijaambulia. Acha kuwalisha matango mkuu.. Kwenye Abracadabra za kikongo hakuna maneno hayo
Abracadabra maana yake nini Boss?
 
Back
Top Bottom