Mambo ni mengi.Makubwa
Wanasema kuna raha ya ajabu hapo. Wengi wanaofanikiwa kufanya hii kitu kama inavyotakiwa hupitiliza na kufariki!! Nikipata muda nitaiandikia uzi wake hii mada.Duh mkuu yani hiyo yote ni katika harakati za kujipa raha au ni kama mashindano maalumu. Yani sipati picha😂
Labda zitakuwa zimehifadhiwa kwenye kibofu mkuu.Bado nafikiria manii kutoka kwa dakika moja na nusu zitakua zimehifadhiwa sehemu gani kwa sababu kiwango kitakachotoka kwa dakika na nusu ni kingi sana? Nadhani sehemu ya kuhifadhia manii hauna uwezo wa kubeba kiwango chote hicho ambacho kinaweza kutoka kwa dakika moja na nusu non stop. Unaweza kuelezea hili?
Jaribu kwanza uone.Hatari sana...
Unajua kuna watu watajaribu huu uongo wako...
Ni mpira wa maji pekee ndiyo ukiubana unaweza toa maji kwa kurusha kwa muda mrefu siyo uume wa binadamu...
Cc: mahondaw
ENDELEEENI KUJARIBU HATA YALIYOVUKA MIPAKA, SIFA ZA UMAUTI ZINALIMEZA KUNDI LA VIJANA KWA KASI SANA. KUNA MBWIGA MMOJA APA ATATOKA KWENDA KUJARIBU KISA TU KASIKIA HIVYO.Ni Sikh nyingine tena niliyoitenga kuwapa wasiyoyajua wanajf wenzangu. kama ilivyokawaida dunia ina mengi sana ya kushangaza na kustaajabisha.
Moja ya mambo usiyajua wewe msomaji wa Uzi huu ni kwamba unao uwezo wa kitoa manii(sperms) mfululizo ndani ya dakika moja na nusu bila ya kustop.
NI ELIMU YA BURE KABISA:-
Kama utahitaji kutoa manii au shahawa kwa muda wa dakaki moja na zaidi mfululizo bila kuacha na uonje raha ya dunia basi fanya yafuatayo.
1. Hakikisha unajifunga kiuzi cheusi mwishoni mwa uume wako kipindi unaanza kugegedana na mke wako au demu wako.
2. Ukiwa unagegena, ukiona unakaribia kupiga bao tamka maneno haya Mara tatu "PYETUUU KIKIPYEEE MAPUKUUU.
3. Kipindi unatamka maneno hayo hakikisha unakuwa umefumba macho huku unabana makalio yako kwa nguvu sana.
Yaani nakuhakikishia hapo bao litakalotoka nitachukua zaidi ya dakika moja na nusu bila kuacha na kukupelekea usikie raha ya ajabu ambayo haijawahi kutokea katika maisha yako yote ya duniani.
SIDE EFFECT:-
Kwa watakao jaribu. side effect zake ni
(I)kuchoka sana kuliko pitiliza.
(ii)kutokurudia tendo la ndoa ndani ya siku nzima.
(iii) kifo kwa mwenye afya dhaifu.
(iv) njaa kali sana na kiu kikali sana.
Haya kazi kwenu na ulingo ni wenu wakuu. Tambua baadhi ya mambo yaliyofichika ndania ya dunia.
DON'T START WHAT YOU CAN'T FINISH.
Tatizo murder case... Kuna hatari ya roho ya mtu kuacha mwili hapa.Naomba mdada mmoja ajitokeze tujaribu