Kama una pua kubwa utupishe.

Kama una pua kubwa utupishe.

Lazima atakuwa anapata! Huwezi kufanya hivi mara kwa mara sehemu usiohitajika hata siku moja or else ana parody lingine hii anatumia kutuchezea!
Atafute hela aende sehemu zenye uhakika mbona atatongozwa na hao mamende kuja kujianika huku akaliwe afu apewe afu kumi si bora ajitie dildo
 
Kuna mzazi wa mtu miaka 50+ ameamkia kwenye mitandao ya kijamii kujadili mimba ya wema.
Hakika Samia anaongoza vichaa.
Sasa unamwambia haszu afanyaje? Au huoni na yeye anatetea kijambio chake?
 
Kwani huwa wanalipwa na wao pia? Nikajua wanajitolea tu🫢
Wanaishije na hawana kazi ? Kuna wanaojiuza ukienda bar wamejaa kama nn , sasa sjui huyu kakaza ama ni urojo

Yaani upigwe pipe na afu kumi sjui laki si bora ukabebe zege tuu
 
Wapo wengi mno kwenye mabar pale amell wanachukauga meza pembeni ya dj wanahangaika kama malaya wanavyohangaika!

Duhh af10 jamani! Bora akqwe hata konda tu mbona watu wanalazimisha maisha ya ajabu hivi😐
 
Kumbe ushawaona imagine mwanaume yupi akuchukue bar akupe laki ??? au 50k hata akipewa huoni ni hela ambayo ni ndogo kwa anavyotumika kwa kei sawa Ila mtaroni duuh ujinga mtupu afu kesho Tena anarudi ndiyo maana wengi wamekanyaga waya masikini
 
Mungu aokoe kizazi chetu! Watoto wa kiume wamelaanika sana aisee!
 
Wapo wengi mno kwenye mabar pale amell wanachukauga meza pembeni ya dj wanahangaika kama malaya wanavyohangaika!

Duhh af10 jamani! Bora akqwe hata konda tu mbona watu wanalazimisha maisha ya ajabu hivi😐
Seran unaonekana unavijua sana viwanja vya Dsm.

Siku nikifanikiwa kupata nauli ya kuja Dar naomba uwe mwenyeji wangu, unitembeze viwanja vya mjini Daslam
 
sivijui, ila ukiwa na pesa ya kueleweka hakuna litakaloshindikana! and btw how did u know its in dar?🤔
 
Nime google mtandaoni, nikaona Amell ipo karibu na Magufuli hostel upande wa Kuelekea Sinza makaburini.

Btw niandae sh ngapi ili uweze kuni escort?
 
umeamua kuiomba? hio mali ni mbovu asikwambia mtu. amevuka hadi kwenye viwango vya gumegume
 
Back
Top Bottom