Kama una pua kubwa utupishe.

Kama una pua kubwa utupishe.

5AAC132B-E029-4D88-AEE6-573AF8ECC97F.jpeg
 
Wakati wenzako wakijiamulia mambo ya msingi, ww umeamua kujiamulia kuwa shoga
 
Sjui anatumia Tecno y3 ndo zilikuwa zinakutoa mwekundu

Atume picha afu ziba macho acha hiyo pua afu ana pua fupi ndo aseme ni nzuri 😂
Pua imechuchumaa sio? Sema yuko sahihi maana kuna watu wana pua ka mkoba wa shetani! Ila lengo lake hasa nini🤔
 
Back
Top Bottom