Kama una mke mwenye sifa hizi basi una bahati

1. Anajua kupika chakula vizuri
2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake ktk afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.
3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka ktk hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka , hapa sizungumzii urembo.
4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi was hasira.
5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza .
6. Anampenda Mungu
7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.
8. Anajua kuhonga ela
9. Anajua kutoa risiti
 
Awe anajua kukatikia dyudyu
106f345d391dc8877e1b43c0ba99fbae.jpg
Hapa ndo penyewe kabisa!!!
 
1. Anajua kupika chakula vizuri.

2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake katika afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.

3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka katika hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka, hapa sizungumzii urembo.

4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi wa hasira.

5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza.

6. Anampenda Mungu.

7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.
My lovely wife ana sifa hzo zote ila kasoro yake ni wivu na kunigombanisha na michepuko yangu hapo tu ndo nam disqualify
 
1. Anajua kupika chakula vizuri.

2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake katika afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.

3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka katika hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka, hapa sizungumzii urembo.

4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi wa hasira.

5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza.

6. Anampenda Mungu.

7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.

8. Zote umetaja sina ya kujazia
 
Wekeni ya sifa za mwanamume pia. Ila kwa mwanamke sifa zote ulizotaja ni muhimu sana ila pia awe ni mtu mfatufaji, mkarimu kwa watu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom