Kama una mke mwenye sifa hizi basi una bahati

haaaaaaa, lengo la no 5 in ili aweze kuwasaidia watoto japo siyo kigezo sana, hapa nimegundua kuwa wanaume wanaoa wasio jua ngeli ili wawafiche baadhi ya mambo
kiigereza ni lugha km lugha zingine km kisukuma n.k tatizo la kingereza ni lugha ya weupe na ss weus huwa tunaiona km lugha ya ukombozi na tukiwaona wazungu km miungu vile.
Kigezo cha kujua haimfanyi kuwa mke mwema ndio maana wanasema mke au mume mwema anatoka kwa mungu.
Sifa ya mke au mume bora
1. Amjue Mungu na amuabudu ktk roho na kweli hapa hautasikia usaliti, matusi, dharau, kulana tigo n.k
ukiwa na hofu na Mungu utamheshimu, na utakuwa mwaminifu na pia utailinda ndoa yako
kuwa na masters au PHD haikufanyi kuwa mke au mume mwema.
"Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu''
bora uoe mwanamke aliyemaliza darasa mweny hekima na busara kuliko mwanamke aliye na masters au PHD mweny dharau, kejeli, na usaliti.
Sio wote weny masters au phd weny dharau la hasha baadhi yao.
Halafu kijana wangu usije kujidanganya kuwa ukioa mwanamke mweny kaz utasaidiwa majukumu hapo sahau. Pesa ya mwanamke ni yake ya kwako ni ya wote
 
kiigereza ni lugha km lugha zingine km kisukuma n.k tatizo la kingereza ni lugha ya weupe na ss weus huwa tunaiona km lugha ya ukombozi na tukiwaona wazungu km miungu vile.
Kigezo cha kujua haimfanyi kuwa mke mwema ndio maana wanasema mke au mume mwema anatoka kwa mungu.
Sifa ya mke au mume bora
1. Amjue Mungu na amuabudu ktk roho na kweli hapa hautasikia usaliti, matusi, dharau, kulana tigo n.k
ukiwa na hofu na Mungu utamheshimu, na utakuwa mwaminifu na pia utailinda ndoa yako
kuwa na masters au PHD haikufanyi kuwa mke au mume mwema.
"Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee ********''
bora uoe mwanamke aliyemaliza darasa mweny hekima na busara kuliko mwanamke aliye na masters au PHD mweny dharau, kejeli, na usaliti.
Sio wote weny masters au phd weny dharau la hasha baadhi yao.
Halafu kijana wangu usije kujidanganya kuwa ukioa mwanamke mweny kaz utasaidiwa majukumu hapo sahau. Pesa ya mwanamke ni yake ya kwako ni ya wote
Mkuu hata kama ana mcha Mungu kama sio msafi au hajui kupika atakua hana sifa stahiki
 
heeeeee kumbe kingereza nayo ni sifa ya kuongeza credt kwa mwanamke daaaah , bac nami iyo sifa ninayo natafuta mchumbaa mwenye real love

ndio tena kigezo kikuu hasa kwa hawa wenzetu wa kuanzia kibamba kuendelea ukitokea Chalinze Limoja lilinambia linakereka kutolijibu kingereza mda wote wakati najua ni ushamba! nilicheka unafikiri alinisomesha! ikabidi nimpotezee akatafute huko England maana wanakipiga kiingereza mda wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom