Kama una mke mwenye sifa hizi basi una bahati

Anapenda mgegedo na maromance.

1. Anajua kupika chakula vizuri
2. Anajua kula vizuri na kuuweka mwili wake ktk afya nzuri sio anakua bonge hadi anashindwa kutembea na mwili wake mwenyewe.
3. Anajua kuvaa vizuri na kujiweka ktk hali ya usafi yeye na mazingira yanayo mzunguka , hapa sizungumzii urembo.
4. Anajua kuongea vizuri na watu na si mwepesi was hasira.
5. Anajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza .
6. Anampenda Mungu
7. Ongezea sifa nzuri ya mkeo ambayo haijatajwa hapa.
 
M

Mke wangu hizo anazo zote na. Hizi hapa
8. Anapenda sana wazazi wangu kama anavyowapenda wazaazi wake. Pia the same apply to ndugu zake na na zangu.
9. Heshima kwa kila binadamu, tajiri, maskini, wakubwa na wadogo.
10.Anajali familia yetu na mtoto wetu.
11. Ni mchapakazi hodari kazini kwake na nyumbani kwetu.
12. Anamjua na kumuabudu Mungu. Etcnitaendelea.
Ahsante Mungu kwa mke huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom