laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,731
- Thread starter
- #41
Unatakiwa uanze kidogo na shamba dogo ukipata faida unaongeza. Hata Bakhresa alianza kwa kushona viatu Kariakoo.Kuna vitu vingine tuwe wwazi utaenda kulima labda kijishamba lakini shamba la ukweli uwe na mtaji wa kuandaa shamba upate mbegu bora palizi dawa na kadhalika ukitaka kujiajiri mafunzo 50 ya chini kabisa elfu kumi bado huna mtaji so kungekuwa na solution sawa ukitaka mkopo lazima muwe na vikundi mtengeneze hisa ili kuweza kukopa wakati pesa huna jamani too much