Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Vijana na wadogo zangu nawapa ushauri wa bure kabisa kama akili yako kwa sasa inawaza kuajiriwa basi jitahidi kufuta ili wazo la kuajiriwa kwa sasa na uangalie other alternative ya kutimiza ndoto zako.
Kama unawaza kuajiriwa kwenye karne hii ya corona basi jua utakufa masikini tena kwa umasikini wa kujitakia mwenyewe,
Kama unasubiri serikali au taasisi binafsi ikupe ajira basi kaa ukijua umri unaenda na siku zinaenda vile vile the more unavyosubiri ajira na ndivyo unavyozidi kufa masikini.
Uwa nasikitika sana kusikia kijana amekaa nyumba 5 years bila ajira na yupo yupo tu hana direction yeyote na bado anasubiri siku aitwe apewe kazi watu kama hawa uwa nawaona wana akili finyu sana.
Fursa zipo nyingi ila hawazioni wamebaki kusubiri kuajiriwa narudia tena fursa zipo nyingi sana ila hawa wanaojiita wasomi wa vyuo vikuu hawataki kuchangamkia fursa wanachosubiri ni post za ajira kwenye magroup ya whatsapp waapply wasubiri kuajiriwa
Ajira kwa sasa ni sawa na kubet kuna kupata na kuna kukosa.
Vijana acheni kuwaza kuajiriwa kwa sasa fikirieni nje ya box kwenye fursa zilizopo mtaani fursa ni nyingi sana ni kuwa na passion tu na hicho kitu.
Mfano kuna hii mikopo ya halmshauri ambayo imetolewa kwaajili ya vijana, wanawake na walemavu. Inayosaidia vijana kujipatia mikopo na kufanya development activities na mikopo hiyo inacharge lowest interest rate ili watu waweze kufanya shughuli zao na kujipatia kipato.
Mikopo ya halmashauri inatolewa kwa kikundi mfano vijana watano wanaji organize wanaomba 20m ya kufanyia biashara ili kujipatia kipato.
Hii mikopo imewasaidia vijana wengi sana ambao wamewaza nje ya box badala ya kusubiri kuajiriwa wamejiajiri wenyewe na wanaendesha maisha yao.
Last week nimetoka songwe isee kuna vijana wanapambana kupita maelezo na asilimia kubwa ya vijana hao ni wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali waechukua mkopo wa halmashauri wamejiajiri kwenye kuuza mchele wanasupply sehemu mbali mbali hadi zambia wanapeleka. Wananiambia wamekuwa watu wengine na hawafikirii kuajiriwa kwani biashara wanayofanya inawalipa zaidi.
Vijana acheni uwoga wa maisha biashara zinalipa ila inategemea hiyo biashara unafanyia wapi na wakati gani. Na biashara is all about passion and determination.
Wewe endelea kusubiri ajira portal wapost matangazo ya ajira kwenye whatsapp groups wakati wengine wanaingiza hela kwa kujiajiri kwenye biashara na vitu tofauti tofauti na wanaingiza mkwanja.
Waajiri nao wamekuwa wajanja wanaangalia experience kuanzia 1 year na kuendelea, kaa chini jiulize utatoboa au utakuwa unasindikiza watu huku umri unaenda na huna kitu chochote.
Wewe endelea kulia lia kazi hamna utakuja kushtuka umekuwa mzee na umekuwa mzigo kwa watu.
Maisha ni kuchagua na kuchagua ni kupanga.