Kama umechaguliwa SAUT pitia hapa

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
647
72
Nafahamu mtakua na mchecheto sana wa kutaka kuyafaham maisha ya chuo yalivyo hasa hapa SAUT main campus.. kwa hiyo kwa mliochaguliwa hongereni jamani. Kwa yeyote mwenye swali kihusu SAUT Main anaweza kuuliza..

Lastly karibuni tulijenge jiji la Mungu...
 
Ugumu wa kozi ya education ni upi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwa kifupi ni kwamba ukifuata kilichokupeleka chuo kila kitu kitakuwa rahsi kwa hiyo kwa hapa Saut changamoto kubwa hasa kwa baadhi ya vitivo ni kwamba kozi tunazosoma ni nyingi unaweza ukajikuta kwa semister unasoma kozi mpaka 10 sasa hili ni tatizo kubwa lazma usome sana kwa hali kama hyo..
 
Niliwahi kusoma coz kumi na tatu semista moja hapo SAUT.
 
Le français est une leçon difficile.
Hivi kwa nn wanalazimusha kufundisha wakati watu hawana mvuto nalo.
 
Le français est une leçon difficile.
Hivi kwa nn wanalazimusha kufundisha wakati watu hawana mvuto nalo.

kwa hilo sina majibu sahihi lakini si kweli kwamba watu hawaipend hyo kozi kwani mie pia naipenda ingawa cjui chochote
 
Nafahamu mtakua na mchecheto sana wa kutaka kuyafaham maisha ya chuo yalivyo hasa hapa SAUT main campus.. kwa hiyo kwa mliochaguliwa hongereni jamani. Kwa yeyote mwenye swali kihusu SAUT Main anaweza kuuliza..

Lastly karibuni tulijenge jiji la Mungu...

Jiji la MUNGU .? yupi huyo. sema jiji la chupi
 
vijana kasomeni na mda ukiruhusu kula sana bata kwani ndio moment yako ya mwisho hiyo kujiachia yani bata kula ipasavyo alafu piga shule usijibane ingawa nasikia saut nowdays si kama yetu msa dj akisema saut piga kelele club nzima unasikia oyooo pamoja na yote haya tulizingatia masomo tukaitimu sasa tunapambanaaa na maisha
 
Mkuu na upande wa engineering (civil eng) mzk wake vp kwa hapo SAUT?

kwa upande wa Engineering kuna changamoto kubwa sana ya waalimu,hasa upande wa civil,electrical siyo sana,zaidi ya nusu ya malecturer kwenye department wanakodiwa kutoka DIT na vyuo vingine.
 
Sina uhakika kama kuna course ya marketing ila mtagawanywa baada ya second year semisters ya pili mtaenda marketing, finace na wengne Hr
 
Sina uhakika kama kuna course ya marketing ila mtagawanywa baada ya second year semisters ya pili mtaenda marketing, finace na wengne Hr

Marketing kwa SAUT tulisoma partial first year BBA ila second year ndio watu wakaenda ipiga deep. Achukue BBA then baadae atamake choice sehemu anayoipenda. Kuna Marketing, Human Resources, Accounting and Finance, Procurement and Logistics, Banking na pia Treasury japo huwa hamna walimu wa course hiyo.

Ama anaweza soma Public Relation and Marketing nao kimtindo wanaipiga piga.

Mi ni muhitimu wa SAUT mwaka 2013 ninakifahamu inside out. Nitasaidia pia kutoa jambo lolote lile lunalokutatiza. Kuanzia hostel, gharama za maisha hadi nini ufanye ili kuendana na maisha ya SAUT na nini ufanye kupita vikwazo vya masomo kama French, Social Ethics na akina Religion maana ni masomo lazima usome utake usitake. Karibuni vijana.
 
Mimi pia ni muhitumu mwaka huo wa 2013 nilisoma procurement and logistics japo marketing nilisoma kidogo kama course semisters mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom