The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,550
- 20,344
GT.
Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
Hadi huo wasia uwepo sasa 😅 😅 😅
Haaaha...
Ndiyo andika wosia, kwa umri wako na machafuko unayoyataka tarehe 29 huwezi kumaliza nusu saa siku hiyoKwa hiyo waliosoma primary/secondary kipindi cha mwalimu waandike wosia au?
Sadiki na chitemoHaaaha...
Andika wosia kama uliona/ tumia ivi vifwatavyo..
Bia bingwa
Soda mwala
Chai jaba
Chopeko na minofu
Hawafu mwenye nguvuuuuuuuu
Juma na uledii
Chupi za vip
Enzi za kipande CHA baiskeli
Kodi ya kichwa
Maduka ya ujamaa
Kula wali mpaka sikukuu
Kunywa soda mpaka uumwe/ uende ugenini
Kwa uchache sanaa
Aisee umenifurahisha sana, aisee eti alikuwa mjanja mjanja.Nyerere alikua mjanja mjanja sana haya ni Maneno ya john Dewey na paulo freire "education as liberation"
kumbe nchi imepiga hatuaHaaaha...
Andika wosia kama uliona/ tumia ivi vifwatavyo..
Bia bingwa
Soda mwala
Chai jaba
Chopeko na minofu
Hawafu mwenye nguvuuuuuuuu
Juma na uledii
Chupi za vip
Enzi za kipande CHA baiskeli
Kodi ya kichwa
Maduka ya ujamaa
Kula wali mpaka sikukuu
Kunywa soda mpaka uumwe/ uende ugenini
Kwa uchache sanaa
Umri wangu unaujua? Naandamana kweli, kumtoa nduli!Ndiyo andika wosia, kwa umri wako na machafuko unayoyataka tarehe 29 huwezi kumaliza nusu saa siku hiyo
Kitambo sana....Sadiki na chitemo
Muwa uliozamisha Meli
GULIONI KATERERO!
Sizitaki mbichi hizi.
Sio mchezo Kuna nguo huivai ovyo ovyo..mpaka jumapili au sikukuu... ikifika sikukuu lazima uvae nguo mpya na kwenda sinema.kumbe nchi imepiga hatua
wewe wajuzi kumbeSadiki na chitemo
Muwa uliozamisha Meli
GULIONI KATERERO!
Sizitaki mbichi hizi.
Miaka ya 70's mpaka late 90's wewe unaita juzi.wewe wajuzi kumbe
bulga maziwa ya unga na galoni ya mafuta ya kula umetumia?Sio mchezo Kuna nguo huivai ovyo ovyo..mpaka jumapili au sikukuu... ikifika sikukuu lazima uvae nguo mpya na kwenda sinema.
Kuna hatua tumepiga enzi izo ni barua unaituma kwa garii inadondoshwa kijijini mtu akiokota stendii anawaletea kijijini