MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,428
aahhah ahhahhha,wamuache kijana ashine tenaMSAGA SUMU ninasikia wanga wameonekana Bagamoyo wakivunja nazi kumzima Darasa
Asante sana mkuu jamaa asaiv ana yumbaMelody ya Muziki kila siku nyimbo zake hazibadiliki...!! Abadilike mzee babaa... Yani anazingua sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
We kajamaa mzushi sana majuzi ulisema mlifanya party salasala ukampa ganja marehemu akakataa. Leo unasema ulikuwa unamuuzia sembe DarassaWrite your reply...darassa uwezo anao sema Dona inamponza. kipindi Fulani alikuwaga hapa dom kitaa cha salatoga karibu na bot nilikuwaga namuuzia sembe jamaa!
Muziki wa Tanzania ukiuletea nyodo unakutoa nje ya ulingo kabla ya raundi ya kwanza.
Darassa ushatoka nje ya ulingo wa Bongo Fleva.
Wimbo upo kawaida na ukizingatia hvyo anavyoongea kama Mrisho Mpoto
Abadilike kuendana na mabadiliko ya mzuki, mahitaji ya hadhira na soko kwa ujumla