Kama ulifikiri Darassa kaisha fikiria tena, ngoma katoa leo lakini imepigwa mpaka MTV Europe

Wimbo upo kawaida na ukizingatia hvyo anavyoongea kama Mrisho Mpoto
Abadilike kuendana na mabadiliko ya mzuki, mahitaji ya hadhira na soko kwa ujumla
 
Drasa bado yupo vizuri ila amefanya alichokifanya feruz yaani unatoa ngoma ambayo ni wimbo wa taifa kila ngoma unayotoa baada ya hapo ikilinganishwa inashindwa kuizidi iliyopita, darasa anatakiwa afanye ngoma itakayofunika ile ya muziki tofauti na hapo ni noma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...darassa uwezo anao sema Dona inamponza. kipindi Fulani alikuwaga hapa dom kitaa cha salatoga karibu na bot nilikuwaga namuuzia sembe jamaa!
We kajamaa mzushi sana majuzi ulisema mlifanya party salasala ukampa ganja marehemu akakataa. Leo unasema ulikuwa unamuuzia sembe Darassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muziki wa Tanzania ukiuletea nyodo unakutoa nje ya ulingo kabla ya raundi ya kwanza.

Darassa ushatoka nje ya ulingo wa Bongo Fleva.

Mkuu nadhan hata hauelewi ulichoandika.

Darassa ni more than mwanamziki. Hawa wasanii wengine wanabebwa tu na makiki na mitandao ya kijamii. Ila darassa mziki wake unabebwa na kipaji chake tu na sio kiki za kijinga kama ilivyo kwa wasanii wengi bongo.

Ndo maana kuna jamaa aliulizwa ""ETI MITANDAO YA KIJAMII IKIFUNGWA, ITATOKEA NN KWENYE BONGOFLAVOR" akajibiwa ""..MITANDAO IKIFUNGWA WASANII WATAPOTEA ILA WANAMUZIKI WATABAKI""

SASA USILINGANISHE WASANII NA MWANAMZIKI. Darassa ni mwanamziki na sio kama wasanii hawa wa kawaida ambao wanafanya usaniii hadi kwenye maisha yao.

Darassa is the best
 
Wimbo upo kawaida na ukizingatia hvyo anavyoongea kama Mrisho Mpoto
Abadilike kuendana na mabadiliko ya mzuki, mahitaji ya hadhira na soko kwa ujumla

Oya sasa sie mashabiki zake ndo tunapenda hio style.
Ngoja nkuulize kitu. Mbona flow za jayz hua ni zile zile karibia kila ngoma alizokua anazitoa. Lkn watu walikua wanashabikia kwa sababu ile flow yake ndo watu wanaipenda na ndo inawafanya watu wamsikilize na ndo ilompa yy na the throne(group lao) mashabiki wengi zaidi

Acheni kukariri. Mbona hata wasafi melodies zao zote ni zilezile, na wengi wanaimba kama bosi wao lakini ukiangalia the most viewed artists kwa tanzania in youtube ni wasanii wa wasafi. Kama hauna sababu ya maana bora anza tu kumshabikia darassa ila usiseme eti ana staili ileile ya uimbaji.

Naweza kukupa mifano mingi ya wasanii wakubwa ambao wana staili ileile ya kuimba lkn bado nyimbo zao zinapendwa, na hio ni kwa sababu staili na melodies zao ndo zinawapa watu raha na hamu ya kuwasikiliza
Chk ngoma hizi tatu za Ariana grande "BREATHING" , "THANK U NEXT" zimefatana sana lkn melodies ni zile na pia zimesumbua kinoma kwenye mitandao na media
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom