Kama ukisikia-Bujibuji is no more!!!!!!

Hata mimi nimestuka sana yaani.
BAsi ndio ujue tutakukumbuka kwa ideas kama hizi. Sioni nani mngine ange pata wazo kama hili
 
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.

bujibuji binafsi nilkuwa nasghukuru MUNGU KWA KAZI NZURI ULIOIFANYA DUNIANI NILIJUA WAPI UNAKOELEKEA NI KWENYE FURAHA NA AMANI SWALA WALE WENZXANGU WAKINA MARA KOBE/PUNDA MAJINA YA KINYAMWEZI SIJUI WATAISHIA WAPI

MUNGU AKUWEKE MPENDWA
 
bora hiyo title wamei edit nshaanza kulia mambo mengi si fresh wala nini..:sad:
 
Shenzi kabisa unatustua mwehu wewe! Mod mnasubiri nini kumfungia huyu jamaa Katustua sana bana mfungieni japo wiki na usirudie tena coz watu tumeshtuka sana nakuuzunika kuona tunampoteza ndugu rafiki mpendwa bujibuji.
 
Bujibuji umenistua sana.
sasa hivi nilikuwa ninasoma mchangio wako kwenye jukwaa la lugha, kuingia hapo ninaambia umeshatangulia,
na jinsi nilivyokuwa mpumbavu, nilisoma heading bila kuangalia nani katuma.

Kama ingekuwa Siku ya Wajinga ungetupata sote kwa ujinga.
Hongera. Natumai siku ya kuondoka kweli utamwarifu Rejao aende kutafuna mpunga wa matanga.
Mimi asingenipata.
 
Mkubwa, sikunyingine usirudie kupost kwenye jukwaa hili utani kama huo, kwa sekunde kazaa roho iliniuma sanaa, lakini nimekuswameh na mwenyezi Mungu akupe maisha marefu!
 
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.
We nawe huishi vituko, upumzishwe mahali unapostahili huko uendako
 
Nimepigiwa simu na mdau mmoja kuwa bujibuji kafa, fasta nikaingia online.....
Kungekuwa na namna members wa JF wa Dsm atleast mfanye utaratibu afadhali mji organise watu watano watano mfanye urafiki wa kweli. Kwa hili la bujibuji laiti lingetokea leo, wengi mngeshindwa/tungeshindwa hata kujua msiba ulipo.
NB:
Upumbavu wako umetushtua sana, lakini umetufundisha kuwa urafiki wetu ni wa mashaka.
 
1.sikustuka kwa vile heading ilikuwa wazi inaeleza.....kama.
2. Hata hivyo ungekuwa unatokea maeneo nilikozaliwa mimi huko maporini,lazima ungelambwa bakora,ni mwiko kujichuria mabaya........uchuro.
3.mkuu vipi??? Au una dili la kujiua???? Acha hizo bwana,huko waendako mambo ndio ovyo kabisa si unaona hawarudi????.
4.kama ingekuwa kweli, tungemmiss mtu mmoja safi na muhimu sana hapa jf.
 
Dah!
Very sad. sio thread iliyokaa vizuri
Nilishushtushwa sana na title ya thread ila nikashangazwa pia kuona bujibuji mwenyewe ndo amepost halaf thread ina sema bujibuji is no more:embarrassed:
 
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.

Sasa umekufa au bado uko hai?
maana sisi tunawahi pilau tuu..si kila mtu ana pilau la kila mwisho wa kuishi humu Duniani?
Au umekaribia kufa baba...tuandae machozi....unachekeshaga lakini hii umehuzunisha sana kwa kichwa cha sredi.
 
Back
Top Bottom