Hapo mkuu wangu ndipo napowaogopa sana vijana wa Chadema...Kwa mtazamo huu nakuhakikishia Dr.Slaa hatashinda
CUF yawapasa sasa kubadilisha mgombea wao, yaani tangu vyama vingi vimeanza ni Prof Lipumba tu kama vile ni Usultani. Ni vema CUF waweke mwingine, vinginevyo kura zitazidi kupungua!
Alipojitokeza Prof Safari ikawa taabu, hadi akakimbia Chama.
Hapo mkuu wangu ndipo napowaogopa sana vijana wa Chadema...Kwa mtazamo huu nakuhakikishia Dr.Slaa hatashinda
Itakuwa vita ngumu sana ila naamini Dr Slaa ataibuka mshindi. Tatizo kutakuwa na hila nyingi hasa kuwanunua watu wa chadema na kuiba kura ila nadhani Chadema nao wamejitayarisha vilivyo na hilo
yeees u are right . tusiwe wanafiki wakati ukweli tunaujua RAIS EDWARD LOWASA ATAANZA KUTEMBELEA KINGORA RESMI 01/01/2016Mh Edward Ngoyai Lowassa is the best candidate for Tazania. Slaa has alreadproofed failure. charity begin at home vilevile kwene vitabu vitakatifu imeandikwa asiyeweza kusimamia nyumba yake atasimamiaje kanisa? kanisa ni watu. kitendo cha slaa kubadili msimamo wake na kucha upadri na kuamua kuoa ni ushahdi tosha kuwa hana analoweza kisimamia na ndio maana hata alipoamua kuoa na kujaliwa watoto aliwatelekeza na hata kuna binti yake atwae Muchu hakumlipia ada.
point yako ni UPADRI tu?,we kweli uamsho,wataka watu wa amke kwenda vunja na kuiba.mnaua kwa jina la mungu.......!chadema wakitaka ku win wa msimamishe mwingine ila siyo padrii slaaa
Naanzasha kampeni Mpya - Nampendekeza rais mgombea wa Chadema 2915 kuwa - Prof. Kitila Mkumbo
Sasa ni dhahiri mgombea wa CCM atakuwa Lowassa, Chadema Dr Slaa na CUF Prof Lipumba. Unless afya ya mmoja wao au baadhi yao iwe ni mgogoro sioni namna ya kuwashinda hawa katika vyama vyao. Je, wakiingia ulingoni nani unadhani atashinda?
kura hapa ushapiga? Au una lalama tu,piga utizame majibu.chadema wakitaka ku win wa msimamishe mwingine ila siyo padrii slaaa
Bila shaka maana ZZK kisha jichanganya mwenyewe - I had so much hope kwake.. Mzee wangu Dr.Slaa kesha pakwa vya kutosha na uzee unamkabiri vibaya sana miaka 10 mingine sidhani kama ataiweza, ukweli lazima tuuseme. Hivyo basi kama sio Kitila basi Tundu Lissu hawa wanaweza isipokuwa SERA za CDM lazima ziwe wazi kujibu maswali magumu..Na wewe ndo utakuwa kampeni meneja wake siyo? Subirini hiyo 2915 itafika tu...