Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

1.ni mdini sana
2. Mkabila sana
3.fisi(fisadi wa chinichini)


Teh teh teh ndo umemaliza??

mzee Wa kisukari ndo kakuamini na kukuona jembe unayeweza kuwakabili wenye akili zao kwa njia hii??

Ha ha ha ha hata kuandika hujui utaweza shindana na Mbatia??

You are too low kwa hili kakojoe ulale......
 
itabidi tumlaumu bosi wako kwa kumpa ubunge mtu mwenye sifa kama hizo.

hivi watanzania tumefikia level kama hii kwamba unatoa acusation without a grain of evidence, facts or nothing hizi shule za kata zinazalisha mashudu ya nguvu
 
Kama kuwa Mzalendo ni dhambi ya kutokufaa kuwa Rais basi dhambi hiyo anayo Mhe Mbatia! Nimewasalimia tu!!.....
 
Back
Top Bottom