Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
..hoja za Sumaye zilikuwa nyepesi sana.
..kwa mfano alidai serikali ilikuwa na nyumba nyingi zilizokuwa na gharama kubwa kuzitunza.
..sasa kwanini wanajenga nyumba nyingine mpya kwa ajili ya wafanyakazi wa serikali? si walishasema kumiliki nyumba ni gharama kubwa.
.
NB:
..Sumaye alidai waliuziana nyumba zile kwasababu Mkapa alitaka waafrika waendelee kuishi/kuonekana maeneo ya Oysterbay. hoja hiyo haina msingi kwasababu ukizingatia projections za ukuaji wa jiji la dsm eneo lile linapaswa kujengwa maofisi. hivyo basi eneo lile lilipaswa kuuzwa kwa bei ya soko kwa wawekezaji wenye nia ya kujenga majengo makubwa ya kisasa.
cc Yericko Nyerere, Bukyanagandi
Mkuu JokaKuu, ngoja nimeze mate kwanza - ntakujibu leo hii past midday God willing - Cheers.